Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Mambosasa anavideo footage kua ni wazungu na kadhibitisha bila kutia shaka ama kaona rangi tu akakutupuka kua mi wazungu??
 
wameanz wasiojulikan wameham kwa wanasias imegeukia wivu wa maendleo au nin na hakika hawataptkan yaan ni sawa na jambz kuambiwa amsem jambaz mwenzake kawaid hyo 2xhazoea watanzania kilio isio na mvuta machoz
 
Hii speed ya msako nilitegemea pia ingekuwa hivyo siku alipompyu pyu pyu Lissu ..................!!
 
Nadhani una umri mdogo wewe. Ukiongezeka umri baada ya kuishi miaka kadhaa, utajua maana ya kuishi na watu. Kama utasema kila kitu unacho au unaweza kukifanya nyumbani kwako, utaiona dunia si mahala pazuri kuishi. Hivi watu wanakwenda kuangalia mipira kwenye mikusanyiko ya watu, nyumbani kwao hawana TV? Huwezi kuishi pekee yako kama uko kisiwani hata kama una pesa nyingi.

Hamna kuishi na watu ukishakuwa bilionea wa kidunia huwezi kuishi kama raia wa kawaida watu wanaoweza kujudhuru ni wengi.

Ww unadhani unaweza kukutana na Abrahamovic anatembea bila hata mlinzi?!eti anaenda public gym ni uzembe wa hali ya juu hamna bilionea wa kidunia ambaye anaishi kama kuku wa kienyeji eti aende public gym bila ulinzi.


Huko kwny viwanja vya mpira kwenye kumetengwa maalum kwa watu muhimu labda ww ndio hujui
 
Polisi waende ubalozi wa Marekani officicially wawaombe Wamarekani watawapa video ya hilo tukio, systeam ya ulinzi wa American base unacover eneo lote la masaki na oysterbay nawahakikishia hili.

Hata wale Polisi wa Oysterbay wanaobabaisha watu usiku mtu akigeuza gari pale ubalozi wa Marekani na kuwachomowa pesa matukio yote yale wanayaona kwakuwa Polisi wetu wengi ni vilaza hawalijui hili.
 
Back
Top Bottom