Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili si tukio dogo. Ni vyema serikali ikalibeba kwa uangalifu mzito.
Propaganda za kuwahadaa watanzania zimeanzaMambosasa anavideo footage kua ni wazungu na kadhibitisha bila kutia shaka ama kaona rangi tu akakutupuka kua mi wazungu??
Hao jamaa ni vituko vitupuPOLISI NIWAONGO...
KWAMBA ETI NI WAZUNGU
safiNi funzo pia kuwa matukio yote ya namna hii bila kujali umaarufu wa aliyetekwa yashughulikiwe na serikali kwa nguvu zote.
Mafuruki hayupo Tanzania.. labla karudi siku za karibuniMfuruki na Bakhresa wapo Tanzania. Don't lie. Isipokuwa Hans Pop
Si ndio security officers wake watakuwa washauri wake?Hata maadui anao...wafanyabiashara huwa na mambo mengi sana
Hakuna usalama tena hofu imetanda umiliki wa silaha siku hizi umeongezeka tusije jutia kama marekaniYaaan mpaka natetemeka asee!....nimeogopa sio siri
Nadhani una umri mdogo wewe. Ukiongezeka umri baada ya kuishi miaka kadhaa, utajua maana ya kuishi na watu. Kama utasema kila kitu unacho au unaweza kukifanya nyumbani kwako, utaiona dunia si mahala pazuri kuishi. Hivi watu wanakwenda kuangalia mipira kwenye mikusanyiko ya watu, nyumbani kwao hawana TV? Huwezi kuishi pekee yako kama uko kisiwani hata kama una pesa nyingi.
Hii speed ya msako nilitegemea pia ingekuwa hivyo siku alipompyu pyu pyu Lissu ..................!!
Kweli mkuu...Japo wengi wanaamini ata walinzi binafsi mda mwingine wana matatizo yao