Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Ni kweli asee
IMG_0560.JPG
 
Mimi mwenyewe hili tukio nimetafakari mengi sana. Nimejiuliza Mo na pesa zake zote yamempata haya. Na wengine wasio na majina mjini hapa itakuwaje. Na laiti angelijua asubuhi ya leo yangepata haya wala asingeenda huko. Ila ndiyo hivyo hakuna aijuaye kesho yake.
Tuombe Mungu tu kesho isiwe mimi au wewe maana tutasahaulika kama wakina Azory Na Ben Saanane
 
Back
Top Bottom