Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Sasa mkuu akiweka gym nyumbani huoni kama yule anae miliki gym atakosa wateja na matokeo yake pesa itakosekana katika mznguko mwisho mwnyw utaanza kusema maisha magumu.

Angekuwa anapanda na daladala na anishi kwny nyumba ya kupanga ili asaidie watu kutolalamika maisha magumu
 
Mo kapatikana
IMG_20181011_111155.jpeg
 
C lazima awe na gmy kwake,hata hivyo unafikiri wote wanaoangalia mpira vibandani hawana vingamuzi makwao
Miaka ya mwanzo nilikuwa nikigombana na wife haswa mechi za usiku lazima nitoke naacha DStv home naingia vibanda umiza, kuna mwaka nikampeleka kucheki fainali ya Champs league alivyoona vijana wanavyoshangilia na kufukanana akaogopa lakini mm ndo raha yangu kuona watu wakibishana na kumwagiana tambo
 
TANZANIA nchi yangu nini iki cha watu wasiojulikana kuteka watu. EHE MUNGU tunakuomba utufunulie kuwajuwa watu hawa.
 
Back
Top Bottom