Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

habal wanna bod

vijana wa jf tunafahamu fika @ mo dewj alivo mkarimu, mweny kupenda kutoa msaada kwa watu wa kila rika .Nadhan na sisi tumwoneshe tuna mjali kwa kiasi gani .si mbya tukafanya Compaign ya #BringBack mo ,ama turudishiwe mo wetu

huu ni mtazamo wangu jamn
 
Kifaa cha ki electronic kinachowekwa ktk mwili wa mwanadamu ama mnyama kinachosaidia Ku program matumizi vifaa kama ATM,kuwasha gari, track GPS location, monitor watoto wa shule nk. Binafsi Nina Amina kwa Mungu na science. Endapo MO anakifaa hicho mwilini mwake, anaweza patikana kwa urahisi zaidi.

ukiangalia too much Hollywood movies matokeo yake ndo haya. halafu tunategemea kukuza nchi ktk uchumi wa kati kwa kutumia vijana kama ninyi na mawazo kama haya
 
Kifaa cha ki electronic kinachowekwa ktk mwili wa mwanadamu ama mnyama kinachosaidia Ku program matumizi vifaa kama ATM,kuwasha gari, track GPS location, monitor watoto wa shule nk. Binafsi Nina Amina kwa Mungu na science. Endapo MO anakifaa hicho mwilini mwake, anaweza patikana kwa urahisi zaidi.

Dah!, nawe ni binadamu mwenye kichwa!!! Ni afadhali usingezaliwa. Unatupotezea oxygen bure!!!
 
Back
Top Bottom