Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

RFID ni kitu cha kawaida kwa wenzetu, tatizo je aliweka MO!?...
Na kama aliweka hawa watekaji wa kumbeba mtu hotel kama Colleseum ina maana walikua na A-Z za MO basi wana hadi tech ya kuzuia Signal za hicho kifaa!.
Tumerudi Zero!.
Fact!
Mchezo mzima sio bongo movie walahi
 
Ukiwa tajiri, issue kwa wengine, ukiwa maskini shida, ukiwa katikati wadharauliwa, sijuwi binadamu tufanye nini?! 😡😡😡
Tumlete Lieutenant Columbo amalize hii kesi..
Negative Reaction | Season 4 Episode 2 | Full Episode | Columbo via YouTube
 
Mashuhuda wanasema watekaji walikuwa wamejifunika na Mask...

Polisi wanasema ni Raia wa Kigeni[emoji855]
 
Katika ukusanyaji wa ushahid/taarifa it is scientific procedure kuanzia kuanza kuchunguza na ni lazima wakusanye taarifa zile zilizoonekana katika eneo la tukio hayo mengine yatakuja tu kama ni wahindi au wachina ila kwa sasa walionekana pale ni whiteman so acha vitengo vya instigation wafanye kazi yao waza kisomi
Hata kibiti Sirro alisemaga wanashindwa kuingiza vikosi vyao vya polisi kwa sabubu ya njia za vichochoro na mapori kufika inakuwa vigumu,kwa hiyo mimi nimemuelewa Mambosasa alivyosema ni wazungu.
 
Hata kibiti Sirro alisemaga wanashindwa kuingiza vikosi vyao vya polisi kwa sabubu ya njia za vichochoro na mapori kufika inakuwa vigumu,kwa hiyo mimi nimemuelewa Mambosasa alivyosema ni wazungu.
Naomba tuache kabisa kuhusisha serikali na mambo ambayo si kweli.kuna ujambazi na uharamia mkubwa unafanyika nchini kila siku hivi ni kweli serikali ndio inahusika, hapana si kweli.tukio la kutekwa MO ni tukio lililopangwa na watu wabaya sio serikali.Mo ni mfanyabiashara inawezekana kabisa akawa na maadui katika biashara zake,au kuna watu wanataka kumtumia kama njia ya kupata pesa.tukio kama hilo sio la kwanza hapa afrika kwa mfanyabiashara kubwa kama mo kutekwa na waalifu na baadae kudai pesa.Tuache vyombo vya serikali vifanye kazi yao.sisi kama raia tuwape support ili kazi yao ifanikiwe
 
Masikini Mo kaponzwa na mawasiliano yake na Hanz Pope... Uhasama wa Taifa wazee wa Makumbusho awamu yao hii wanafanya wanavyotaka bila ya kubughudhiwa wala kuulizwa
 
Naomba tuache kabisa kuhusisha serikali na mambo ambayo si kweli.kuna ujambazi na uharamia mkubwa unafanyika nchini kila siku hivi ni kweli serikali ndio inahusika, hapana si kweli.tukio la kutekwa MO ni tukio lililopangwa na watu wabaya sio serikali.Mo ni mfanyabiashara inawezekana kabisa akawa na maadui katika biashara zake,au kuna watu wanataka kumtumia kama njia ya kupata pesa.tukio kama hilo sio la kwanza hapa afrika kwa mfanyabiashara kubwa kama mo kutekwa na waalifu na baadae kudai pesa.Tuache vyombo vya serikali vifanye kazi yao.sisi kama raia tuwape support ili kazi yao ifanikiwe
Kuna issue ya ransom hapo watu hawajui.
Kibongobongo watu wanakutengenezea sinema wanalamba chao.
Bro nae hakujielewa tu angeweka vibaunsa viwili pale wale wakipanga mikakati wangechelewa kidogo wakivifikiria..
Kiswahili kigumu😎
 
Umewaza mbali sana mkuu
Tuna uzoefu na Polisi. Tumefanya nao kazi, ni genge fulani la kawaida la uha

Hivi unakumbuka kisa cha Dr.Ulimboka? Dr.Ulimboka aliwataja hadi majina baadhi ya watekaji wake, akatoa hadi namba za simu na kusema anawatambua kwa sura watekaji maana wengine aliwahi kukutana nao Ikulu wakati alipokwenda kufanya mazungumzo na JK kuhusu madai ya madaktari. Miongoni mwa waliotajwa ni Ramadhani Igondwi(Afisa usalama wa Ikulu) na Kamanda Hemed Msangi. Hivi uliona jeshi la polisi likijishughulisha nao?

Tulichokuja kuambiwa na Kamanda Kova ni kuwa, Dr.Ulimboka alitekwa na jamaa mmoja kutoka Kenya, Kova akimtaja huyo jamaa ni gaidi hatari na mzoefu kwa utokaji. Na tukaambiwa huyo mtekaji alikwenda kwa Askofu Gwajma kutubu! Lakini cha kushangaza ni kuwa Gwajma alikana kuhusu hilo na kusema huyo mtu anayetajwa alikwenda kanisani kwake na walinzi wakamwona kama kichaa au tapeli na kumpeleka polisi. Na polisi wakambadilishia mashitaka na kudai ni mtekaji wa Dr.Ulimboka.
 
Naomba tuache kabisa kuhusisha serikali na mambo ambayo si kweli.kuna ujambazi na uharamia mkubwa unafanyika nchini kila siku hivi ni kweli serikali ndio inahusika, hapana si kweli.tukio la kutekwa MO ni tukio lililopangwa na watu wabaya sio serikali.Mo ni mfanyabiashara inawezekana kabisa akawa na maadui katika biashara zake,au kuna watu wanataka kumtumia kama njia ya kupata pesa.tukio kama hilo sio la kwanza hapa afrika kwa mfanyabiashara kubwa kama mo kutekwa na waalifu na baadae kudai pesa.Tuache vyombo vya serikali vifanye kazi yao.sisi kama raia tuwape support ili kazi yao ifanikiwe
Kwanini utuaminishe kuwa ni maadui wake kibiashara??..una uhakika kiasi gani?
 
Hii Serikali imeshamfanyia kila mdau figisu.
Sasa Jiwe akikaa ofisini anawaza;
"Labda ni wakenya niliowachomea vifaranga vyao Moto......??"
"Au labda ni Barick wananihujumu....??"
"Au ni Sumaye niliyemnyang'anya shamba.....??"
"Hapana, itakuwa ni Mbowe maana yeye ndio nimemvurugia club nikaharibu na shamba....??"
"Au ni Lissu,maana huyu nae alikula risasi nyingiiii...??"
"Au Nape....??"
"Au Lema....??"
"Itakuwa Maalim Seif kwasababu naiua Cuf..??"
"Atakuwa nani huyuu.,..??"
"Au Manji...??"
"Rugemalila na Seth...???"
"Sijui itakuwa nani...???"
"Au wananchi tu wananihujumu...??"
"Ila ntalala nao mbeleee...!!"
Itakuwa ni wananchi wa kimara aliowabomolea nyumba zao kwa hila ndio wanamuhujumu!
 
Back
Top Bottom