Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

habal wanna bod

vijana wa jf tunafahamu fika @ mo dewj alivo mkarimu, mweny kupenda kutoa msaada kwa watu wa kila rika .Nadhan na sisi tumwoneshe tuna mjali kwa kiasi gani .si mbya tukafanya Compaign ya #BringBack mo ,ama turudishiwe mo wetu

huu ni mtazamo wangu jamn
Alivyopotea alivyopotea Ben Sanane then yule muandishi wa gazeti la mwananchi, iliandikwa na kusemwa sana bring back our Azory.....( kama nimekosea jina mnisamehe) hadi leo hawajawahi kuwarudisha na bring back zikafa kibudu...... Tuwaombee kwa Mungu awatunze huko wanakopelekwa, wakiamua kuwarudisha na iwe heri....... Moyo wangu unauma napata hasira lakini lakufanya sina zaidi ya kuomba tu
 
Hii hali tumeilete na kuilea wenyewe Watanzania,nasena hivyo kwa sababu utekaji haukuanza leo na kwa watu wa kaliba ya MO,wanasiasa na "wasiokuwa upande wao" wamehujumiwa sana,wengine wameuawa wengine wamepotezwa lakini hatua hazikuchukuliwa,sasa imefika kwa "mwenzao" wameshtuka,wamesahau kuwa walichopanda sasa kinazaa,watoto wetu wangapi siku za hivi karibuni wamepotea, hakuna anayeonesha kujali hasa,nasikitika kwa hili kumtokea MO,ila naweza kusema ni ishara kuwa Mungu anatuamsha na kutukumbusha kuwa haya siyo maisha,sasa hatua zitachukuliwa kuutokomeza huu uhalifu tuliouasisi na kujiona tuko salama hautatugusa,Mungu twaomba MO huko wanakomshikilia wamuachie bila kumdhuru na bila sharti lolote,kwa jina la Yesu Kristo
 
Kutekwa kwa raia yeyote yule ni ishara mbaya...haijalishi huyo mtu ni maarufu au mtu wa kawaida kama mimi.

Tanzania sio nchi ya kwanza dunia tukio kama hili kutokea...haya mambo yanatokea sana hata ulaya na marekani.

Halafu usipende kuhukumu moja kwa moja kana kwamba unafahamu nani kamteka na ni kwanini.

Muhimu ni kuonesha ushirikiano kwa jeshi la polisi.

ASANTE
Hapo kwenye ushirikiano,mmmh bora lawama!
Kaa mbali na jeshi la polisi!
 
mkuu siyo wewe tu
Alivyopotea alivyopotea Ben Sanane then yule muandishi wa gazeti la mwananchi, iliandikwa na kusemwa sana bring back our Azory.....( kama nimekosea jina mnisamehe) hadi leo hawajawahi kuwarudisha na bring back zikafa kibudu...... Tuwaombee kwa Mungu awatunze huko wanakopelekwa, wakiamua kuwarudisha na iwe heri....... Moyo wangu unauma napata hasira lakini lakufanya sina zaidi ya kuomba tu
 
habal wanna bod

vijana wa jf tunafahamu fika @ mo dewj alivo mkarimu, mweny kupenda kutoa msaada kwa watu wa kila rika .Nadhan na sisi tumwoneshe tuna mjali kwa kiasi gani .si mbya tukafanya Compaign ya #BringBack mo ,ama turudishiwe mo wetu

huu ni mtazamo wangu jamn
Huo ujumbe tunamfikishia nani kwanza?
Tulia jeshi la polisi lifanye kazi yake.

ASANTE
 
habal wanna bod

vijana wa jf tunafahamu fika @ mo dewj alivo mkarimu, mweny kupenda kutoa msaada kwa watu wa kila rika .Nadhan na sisi tumwoneshe tuna mjali kwa kiasi gani .si mbya tukafanya Compaign ya #BringBack mo ,ama turudishiwe mo wetu

huu ni mtazamo wangu jamn

Wewe ungepotea India unafikiri Wahindi wangepoteza muda na wewe? Kwanza hata kaburi la kuzikwa wangegoma kukupa. Angalia maisha yako na watu wako, huyo ni bilionea hata akifa Ukoo wake kote mpaka India hawana shida!
 
Hivi kwa mtu mzima mwenye akili timamu huwa unajisikiaje pale unapokuwa huaminiki kuanzia ngazi ya familia, ukoo, mpaka mtaani? Nini huwa mwisho wa mtu aina hii? Nini madhara katika jamii husika? Serikali yetu isifikie huko ikafanana na huyo 'mtu mzima hovyo'.
 
Unaruka mkojo unakanyaga mavi, huoni kuwa ndo wanazidi kutarnish image ya nchi kipumbavu zaidi
Who cares? Akili za kibashite bashite zipo short sited kwenye mambo ya siasa tu, kuhamisha mijadala kwenye mambo ya muhimu tujadili utekaji ambao wao ndio wasababishaji
 
Vyombo vya usalama bure kabisa, hata akipatikana baadae bado ni bure. Dar ipo wazi sana kwa mtu maarufu kupotea zaidi ya masaa 24. Bora angepatikana within 24 hrs hata kama angekua na hali mbaya ingekua bora. More than masaa 24 ni ujinga na hili ni kwasababu ya kukabidhi usalama wa nchi kwa division 4 wa kidato cha nne. Mchawi wa mbongo ni mbongo mwenyewe, if this was done by the govt ni kama kujipiga kofi kwenye jipumbu ili uue mbu. Duniani kote watu wanamjua Dewji he has a very strong PR, na sisi tunafanya mambo kama hatuna akili. Bring him in, question him kawaida tu mambo yaendelee. Usalama ni ovyo kabisa Tanzania. We were able to intercept a planned coup in the seventies tunashindwa haka ka jambo kadogo hivi? They even have our phones tapped, sasa si bora tu muache kila mtu ajifanyie anavyotaka bila kulindwa.
 
Wewe ungepotea India unafikiri Wahindi wangepoteza muda na wewe? Kwanza hata kaburi la kuzikwa wangegoma kukupa. Angalia maisha yako na watu wako, huyo ni bilionea hata akifa Ukoo wake kote mpaka India hawana shida!
the issue here is about humanity.its not about colour or weath . be serious dude
 
Back
Top Bottom