Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Binafsi sishabikii wala kufurahia kadhia iliyo mpata ndugu yetu mzalendo mwenzetu mfanyabiashara mkubwa Tanzania na Dania kwa ujumla
Ila nakataa kutuaminisha kwamba Tanzania sasa si salama,

Sipendi kuihusisha serekali ya jamhuri moja kwa moja kama baadhi ya watu wanavyo tukaririsha tuamini hivyo.

Lazima tukubalo MO kama kama mwananchi mwingine wa kawaida alikua na maisha yake binafsi Hakua na ulinzi wa serekali na hakuona umuhimu huo

Laiti angetaka ulinzi wa serekali isingesita kumpatia kama tajiri mzalendo na hilo linawezekana bila kikwazo kama serekali ingechukua dhamana ya kumlinda then likatokea tatizo kama hili serekali ilikua inawajibu na isinge kwepa lawama zozote zile.

MO ni mfanya biashara huenda wamedhulumiana.wafanya biashara wanamambo mengi tusiyo yajua.masuala ya utekaji nyara hata marekani yapo na dunia nzima kwa ujumla.tuacheni dhana potofu tuiache serekali ifanye mambo yake

Mashabiki wa simba msituchanganyeeee
 
Hivi jana mbona walituyumbisha kama dish mara kapatikana mara nakanusha ni uzushi leo wasicheza na hisia zetu wakija kutoa taarifa zikamiliki,kwanza wamemchagua nani kutoa tamko maana mo lazima apatikane leo
Mkuu wewe ndio uliyumbishwa siku zote inabidi uangalie vizuri chanzo cha taarifa
 
Kabla ya kuzungumza fanya uchunguzi kwanza mkuu...

Kwa taarifa yako kama unamfahamu bilionea Jakob Juma wa kenya alitekwa na kuuawa mwaka 2016.

Marekani na ulaya matukio kama haya nanatokea sana. Hebu fuatilia matukio ya kutekwa hawa matajiri

BOBBY GREENLEASE
VIRGINIA PIPER
JOHN PAUL GETTY III
ALDO MORO na wengine wengi.

Halafu hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kutetea uhalifu...mimi sivai gwanda wala nguo za kijani mkuu.
Mimi ni mtanzania mzalendo nayefikiria kabla ya kuongea nmsilishwi na mtu najilisha.

Sasa unaoolaumu vyombo vya usalama kwa uzembe una maana gani? Unakumbuka tukio la westgate attack?

Mamia ya watu waliuawa na watu kama watatu hivi...serikali ilituma polisi, wanajeshi, mpaka makomandooo lakini hawakukamata hata mhusika mmoja.

Kama hujui ni vizuri ukanyamaza kimya kuliko kuleta hisia zako kwenye mambo ya uhalisia.

Mfanyabiashara mkubwa kama Mo kutekwa sio jambo la kitoto. K7na mengi tusiyojajua its better kuwa kimyaaa. Achia vyombo vya usalama kazi yao.

Kikumbwa ni kumuombea huko aliko atoke salama.

ASANTE
Tusiruhusu matukio ya utekaji yatokee eti kisa yanatokea nchi nyingine. Uo ni uzembe na unapaswa kupingwa. Hata kama yametokea kwa wenzetu bado kuna utofauti mkubwa sana wa kiutendaji wa matukio hao na hapa kwetu. Ni sawa na mwenzako kapigwa nyundo ya kichwa ndo akazimia lakini wewe ukafinywa tuu na ukafa.

Tatizo tunajiridhisha kwamba sababu utekaji upo nchi nyingine basi sisi ni akina nani tukose uhalifu huo. Issue ni umakini na kuweka kipaumbele usalama wa maisha ya watu na mali zao kwa gharama yoyote. Kuna wadau wamelalamikia kukosekana kamera mitaa sensitive kama ile, je hiyo ni sawa?
 
Umenielewa vibaya...
Mimi silinganishi matukio na nchi zingine ili kuhalalisha uhalifu.

Aliyeni quote alihitaji nimtajie baadhi ya matarajiri waliowahi kutekwa.

Sasa mtu unaposema fulani kahusika kwenye utekaji kwa nini usiende kusaidia polisi badala yake unaanza kybandikiza chuki za kijinga kana kwamba unajua aliyemteka na kwanini kamteka.
ASANTE
 
Tunaomba aonekane japo yaweza kuwa movie ya kuisafisha nchi juu ya watu kadhaa waliopotea endapo ataonekana. Ni mtazamo wangu.
Awamu kombe lilifunikiwa Kenya sasa hivi kwa wazungu.
MUNGU LIBARIKI NA ULISAMEHE TAIFA LAKO LA TANZANIA.
 
Mwanaccm wa kuunga juhudi au mwanaccm kindakindaki? Hii ni enzi ya ccm mpya... ccm ya wana juhudi... wale wa kindakindaki watusamehe kama wa kaskazini wanavyotusamehe...
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Binafsi sishabikii wala kufurahia kadhia iliyo mpata ndugu yetu mzalendo mwenzetu mfanyabiashara mkubwa Tanzania na Dania kwa ujumla
Ila nakataa kutuaminisha kwamba Tanzania sasa si salama,

Sipendi kuihusisha serekali ya jamhuri moja kwa moja kama baadhi ya watu wanavyo tukaririsha tuamini hivyo.

Lazima tukubalo MO kama kama mwananchi mwingine wa kawaida alikua na maisha yake binafsi Hakua na ulinzi wa serekali na hakuona umuhimu huo

Laiti angetaka ulinzi wa serekali isingesita kumpatia kama tajiri mzalendo na hilo linawezekana bila kikwazo kama serekali ingechukua dhamana ya kumlinda then likatokea tatizo kama hili serekali ilikua inawajibu na isinge kwepa lawama zozote zile.

MO ni mfanya biashara huenda wamedhulumiana.wafanya biashara wanamambo mengi tusiyo yajua.masuala ya utekaji nyara hata marekani yapo na dunia nzima kwa ujumla.tuacheni dhana potofu tuiache serekali ifanye mambo yake

Mashabiki wa simba msituchanganyeeee
Ata ben sanane,Azory gwanda walikuwa ni wafanya biashara pia lakini mpaka leo patupu
 
Kabla ya kuzungumza fanya uchunguzi kwanza mkuu...

Kwa taarifa yako kama unamfahamu bilionea Jakob Juma wa kenya alitekwa na kuuawa mwaka 2016.

Marekani na ulaya matukio kama haya nanatokea sana. Hebu fuatilia matukio ya kutekwa hawa matajiri

BOBBY GREENLEASE
VIRGINIA PIPER
JOHN PAUL GETTY III
ALDO MORO na wengine wengi.

Halafu hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kutetea uhalifu...mimi sivai gwanda wala nguo za kijani mkuu.
Mimi ni mtanzania mzalendo nayefikiria kabla ya kuongea nmsilishwi na mtu najilisha.

Sasa unaoolaumu vyombo vya usalama kwa uzembe una maana gani? Unakumbuka tukio la westgate attack?

Mamia ya watu waliuawa na watu kama watatu hivi...serikali ilituma polisi, wanajeshi, mpaka makomandooo lakini hawakukamata hata mhusika mmoja.

Kama hujui ni vizuri ukanyamaza kimya kuliko kuleta hisia zako kwenye mambo ya uhalisia.

Mfanyabiashara mkubwa kama Mo kutekwa sio jambo la kitoto. K7na mengi tusiyojajua its better kuwa kimyaaa. Achia vyombo vya usalama kazi yao.

Kikumbwa ni kumuombea huko aliko atoke salama.

ASANTE
Povu la phd..
Ila ni bora kuwa neutral...
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
unalia lia nini na wewe?

Na wewe vurumisha jibu ageuke panadol!

Kajilize kwa De... ... nani sijui yule kuleee
 
Back
Top Bottom