madindigwa
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 2,488
- 2,904
Binafsi sishabikii wala kufurahia kadhia iliyo mpata ndugu yetu mzalendo mwenzetu mfanyabiashara mkubwa Tanzania na Dania kwa ujumla
Ila nakataa kutuaminisha kwamba Tanzania sasa si salama,
Sipendi kuihusisha serekali ya jamhuri moja kwa moja kama baadhi ya watu wanavyo tukaririsha tuamini hivyo.
Lazima tukubalo MO kama kama mwananchi mwingine wa kawaida alikua na maisha yake binafsi Hakua na ulinzi wa serekali na hakuona umuhimu huo
Laiti angetaka ulinzi wa serekali isingesita kumpatia kama tajiri mzalendo na hilo linawezekana bila kikwazo kama serekali ingechukua dhamana ya kumlinda then likatokea tatizo kama hili serekali ilikua inawajibu na isinge kwepa lawama zozote zile.
MO ni mfanya biashara huenda wamedhulumiana.wafanya biashara wanamambo mengi tusiyo yajua.masuala ya utekaji nyara hata marekani yapo na dunia nzima kwa ujumla.tuacheni dhana potofu tuiache serekali ifanye mambo yake
Mashabiki wa simba msituchanganyeeee