Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Nadhani hujaipata concept ya mtoa post. Hajasema watavamia kijeshi ila wataharib mahusiano wakikaa vibaya.. na unajua waarab ni wawekezaji lakin biashara nyingi pia zina take place.
Kwa hiyo asipoonekana Dewji umoja wa nchi za kiarabu watavamia Tanzania kijeshi!!!....!?
 
Nadhani hujaipata concept ya mtoa post. Hajasema watavamia kijeshi ila wataharib mahusiano wakikaa vibaya.. na unajua waarab ni wawekezaji lakin biashara nyingi pia zina take place.
We jamaa bana, umeambiwa dewji ni muhindi sio mwarabu!
 
Hawakawii kutupandishia bei ya petroli na kua 5,000/= kwa lita, kama india walivyopiga marufuku ununuzi wa dengu ya Tanzania, ikashuka bei toka 2,300/=Tshs mpaka 300/=Tshs pindi Manji alivyosekwa ndani
 
Dewji ana uraia Pacha,
Lastly nimesoma katiba iliopo hairuhusu "dual citizenship". Naomba nieleweshe sijaelewa
 
Yule ni Mhindi Baada ya India kutuwekea vikwazo vya kununua Mbaazi, wakulima wameamua kumteka kulipiza kisasi,
Wahindi hawana Noma. Maana Manji na mwenzake Singh Seth wamevurugwa sana vituo vya polisi. Lakini hawaja maindi wala nini? Kwa iyo MO, nae watavumilia kama walivyowavumilia wengine.
Nchi hiiii miyayusho sana
 
Hilo jero la cafe bora ungekula diamond karanga ukajishindia chibu perfume coz ni pumba tu unazoongea
 
Back
Top Bottom