ArchAngel
JF-Expert Member
- Oct 11, 2015
- 4,513
- 3,757
Hii kama inaleta maana hiviYule ni Mhindi Baada ya India kutuwekea vikwazo vya kununua Mbaazi, wakulima wameamua kumteka kulipiza kisasi,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii kama inaleta maana hiviYule ni Mhindi Baada ya India kutuwekea vikwazo vya kununua Mbaazi, wakulima wameamua kumteka kulipiza kisasi,
Hata tofauti ya mwarabu na mhindi huijui, je contents za Uzi wako zitakua sahihi?Aisee subiri ntarudi baadae
Kwa hiyo asipoonekana Dewji umoja wa nchi za kiarabu watavamia Tanzania kijeshi!!!....!?
Asante kwa kunieleweshaNadhani hujaipata concept ya mtoa post. Hajasema watavamia kijeshi ila wataharib mahusiano wakikaa vibaya.. na unajua waarab ni wawekezaji lakin biashara nyingi pia zina take place.
Yule ni Mhindi Baada ya India kutuwekea vikwazo vya kununua Mbaazi, wakulima wameamua kumteka kulipiza kisasi,
We jamaa bana, umeambiwa dewji ni muhindi sio mwarabu!Nadhani hujaipata concept ya mtoa post. Hajasema watavamia kijeshi ila wataharib mahusiano wakikaa vibaya.. na unajua waarab ni wawekezaji lakin biashara nyingi pia zina take place.
We jamaa bana, umeambiwa dewji ni muhindi sio mwarabu!
Na jamii ya wahindi?? Yaleyale kushambuliwa tundu lissu na uhusiano wa wanyiramba na govSawa.. but still the same. Inaweza yumbisha uhusiano wa kibiashara na jamii yake
Ya jipiei kadhaaUsikute Mtoa mada nae ana Degree yake mkononi...!
Wahindi hawana Noma. Maana Manji na mwenzake Singh Seth wamevurugwa sana vituo vya polisi. Lakini hawaja maindi wala nini? Kwa iyo MO, nae watavumilia kama walivyowavumilia wengine.Yule ni Mhindi Baada ya India kutuwekea vikwazo vya kununua Mbaazi, wakulima wameamua kumteka kulipiza kisasi,