Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mganga na dada wa kazi wapigwe adhabu kali mnoJeshi la Polisi kanda maalum ya Dar es Salaam, limefanikiwa kuwapata watoto wawili wakiume na wakike nyumbani kwa mganga wa kienyeji anayefahamima kwa jina la Abdulikarim mkazi wa Kimara baruti.
“January 12,2025 tulipata taarifa za kuibwa watoto wawili wadogo mmoja wa kike mwingine wakiume, mmoja Miaka mitano mwingine minne, dada wa kazi kwa kushirikiana na mganga wa kienyeji Kimara walishirikiana kufanya kitendo cha kihalifu kuiba watoto”
Soma: Dada wa kazi atoweka na watoto wawili mara baada ya kwenda dukani
Aidha Watoto wote wamefanyiwa vipimo Afya zao ni njema na wamekabidhiwa kwa wazazi wao wakati shauri la watuhumiwa likisubiriwa kukamilika ili kufikishwa Mahakamani.
Nimekuelewa.Mkuu, nimetumia lugha laini ya “Vipimo visivyoonekana kwa vifaa vya hosp”.
Lakini bila shaka umenielewa.
Jamani 🙌🏼Kazi ipoJeshi la Polisi kanda maalum ya Dar es Salaam, limefanikiwa kuwapata watoto wawili wakiume na wakike nyumbani kwa mganga wa kienyeji anayefahamima kwa jina la Abdulikarim mkazi wa Kimara baruti.
“January 12,2025 tulipata taarifa za kuibwa watoto wawili wadogo mmoja wa kike mwingine wakiume, mmoja Miaka mitano mwingine minne, dada wa kazi kwa kushirikiana na mganga wa kienyeji Kimara walishirikiana kufanya kitendo cha kihalifu kuiba watoto”
Soma: Dada wa kazi atoweka na watoto wawili mara baada ya kwenda dukani
Aidha Watoto wote wamefanyiwa vipimo Afya zao ni njema na wamekabidhiwa kwa wazazi wao wakati shauri la watuhumiwa likisubiriwa kukamilika ili kufikishwa Mahakamani.
Hapo kuna watoto wengi sana walioibiwa nahisi.Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar es Salaam, limefanikiwa kuwapata watoto wawili wakiume na wakike nyumbani kwa mganga wa kienyeji anayefahamima kwa jina la Abdulikarim mkazi wa Kimara baruti.
“January 12,2025 tulipata taarifa za kuibwa watoto wawili wadogo mmoja wa kike mwingine wakiume, mmoja Miaka mitano mwingine minne, dada wa kazi kwa kushirikiana na mganga wa kienyeji Kimara walishirikiana kufanya kitendo cha kihalifu kuiba watoto”
Soma: Dada wa kazi atoweka na watoto wawili mara baada ya kwenda dukani
Aidha Watoto wote wamefanyiwa vipimo Afya zao ni njema na wamekabidhiwa kwa wazazi wao wakati shauri la watuhumiwa likisubiriwa kukamilika ili kufikishwa Mahakamani.
inawezekana pia ni wananchi walitilia shaka nyendo za mganga wakawatonya mapongo, au pia kupitia tcra , japo hii ya tcra inakuaga limited ukikutana wa wahalifu pro wanasajali line kwaajili yako tu na hawampigii mtu yeyote zaid yako na wenyewe kwa wenyewe wakikamilisha jambo lao wakatupa line unakua na limited call history yenyeaisee kuna maafande noma