Dar: Mganga wa kienyeji akutwa na watoto wawili wa familia moja walioibwa na msaidizi wa kazi

Hapa nawapigia Sarute Maafande wote. Hata Hawa waliodakwa Kwa Hela ya kiwi waachiwe haraka.
 
Daah dunia hii jamani..
Sijui wapo salama kwa asilimia ngapi hao wtt
 
Mganga na dada wa kazi wapigwe adhabu kali mno
 
Jamani 🙌🏼Kazi ipo
 
Hapo kuna watoto wengi sana walioibiwa nahisi.
 
Wale wanaosemaga tuachane na dini za mashariki ya kati, tufuate dini za mizimu ya kiafrika hutawaona humu..
Wangechelewa kidogo kupatikana hao watoto wangeuliwa
 
aisee kuna maafande noma
inawezekana pia ni wananchi walitilia shaka nyendo za mganga wakawatonya mapongo, au pia kupitia tcra , japo hii ya tcra inakuaga limited ukikutana wa wahalifu pro wanasajali line kwaajili yako tu na hawampigii mtu yeyote zaid yako na wenyewe kwa wenyewe wakikamilisha jambo lao wakatupa line unakua na limited call history yenye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…