DAR mkoa bora zaidi wakuishi Tanzania

Kumbe wewe unasikia ila bado hujaona basi uje uone usisikileze umbeya wa washamba
Kungekuwa hivyo unadhani panakalika halafu inaonekana we ni mjuvi wa haya mambo.
[emoji23][emoji23]mkuu sina ujuvi wowote ila si unajua akili za kuambiwa changanya na zako nimechanganya changanya hapa nimekuta dar hapafai hata kutia maguu tu

Kidubuli
 
[emoji23][emoji23]mkuu sina ujuvi wowote ila si unajua akili za kuambiwa changanya na zako nimechanganya changanya hapa nimekuta dar hapafai hata kutia maguu tu

Kidubuli
Basi changanya na hizi ninazokwambia hapa usichanganye za mabaya tu changanya na za mazuri pia
 
Fanya hivyo unaweza jikuta umeokota Noah chap
Huko hapana bwana cheki ajabu hili lingine kutoka dar[emoji117][emoji116]

Maji ya kandoro sh100
Alafu kukojoa sh 200

Hapana mkuu subiri kwanza nipumue
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Kidubuli
 
Kizuri huwa kinasifiwa na wa nje sio kama wewe ulivyofanya, anyway umesema Dar pesa ni rahisi kupatikana je mnachokipata kinatosheleza mahitaji yenu ama ni wale mnaokaa kwa dada zenu walioolewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukwel dar nimkoa mzuri sana, me nakumbuka mwaka 2015 nilifanya msala mmoja hivi mkoani nikawa nimeenda dar kwabmkubwa wangu aise sikujutia yaaani hela hela niliyokuwa naingiza per day kwawakati ule tena hata bila kujipeleka lesi ilinifanya niipende dar, ukiishi dar karibia vitu vyote vilivyope Tanzania utaviona vyakawaida sana kwamfano wamkoani mtu akipita kashika take away au maji safi mkononi ujue nimgeni nakama nimwenyeji tayar wataanza kukusema vibaya kama hawajakwita shorobaro, ila kwadar nimaisha yakawaida sana aise navingine vingi vyakufanana nahivyo yaani dar kila mtu anaishi awezavyo naatakavyo ilimradi usivunje sheria zanchi2 ila me napapenda dar sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli wigo wa kufanya biashara Dar ni mkubwa na sababu zake zipo wazi tu 'purchasing power' na uwingi wa watu ni mkubwa kuliko mikoa mingi kwahiyo kama mtu upo 'focus' kutoboa rahisi, sema kama mtoa mada alivyotoa angalizo shida tukija tulipotoka hizi starehe zina turudisha nyuma baadhi yetu

Sema Dar kwangu binafsi sijaipenda kijamii zaidi kuna 'social unrest ' nyingi sababu za uwingi wa watu na mipango miji isiyo imara kuchukua watu wengi kwa mara moja, maana kuna mipango toka enzi za mjerumani watu wakiwa wachache mpaka leo hapa pia kama Taifa inaonyesha udhaifu wetu wa kupanga miji yetu hasa mikubwa, sababu watu lazima watahama kutoka ktk maeneo ya sio na matumaini kuja 'at least' kwenye matumaini ya maisha

Hapa pia changanya na wakuu wa mikoa dizaini ya Bashit
 
Umeongea point but unaonekana una elementi za kibaguzi na umeshindwa kutambua kuwa maendeleo hayaletwi kwa sababu moja Bali kwa muunganiko wa push factor (syo mkoa mmoja bali mikoa yote)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbeya ndo kila kitu chakula bei rahisi hakuna joto kama Dar
 
Dar si ndiyo wanaume wanashindia chips mishikaki, maji ya kunywa wanafungiwa plastic maji ya jangwani na kipindupindu hakiishi, Dar ambako maji muda wote ni shida wanaishi kwa kuuziwa maji ya visima
Ukija usafiri ni shida tu, joto ndo husiseme na kwa sababu hiyo malaria haishi, wizi na wingi wa vibaka, ukipaki gari kioo au taa zimeondoka. Sasa sijui mtoa mada anaongelea raha gani zaidi ya kunukiana vikwapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…