Chichi Theboy
JF-Expert Member
- Feb 20, 2015
- 429
- 499
[emoji23][emoji23]mkuu sina ujuvi wowote ila si unajua akili za kuambiwa changanya na zako nimechanganya changanya hapa nimekuta dar hapafai hata kutia maguu tuKumbe wewe unasikia ila bado hujaona basi uje uone usisikileze umbeya wa washamba
Kungekuwa hivyo unadhani panakalika halafu inaonekana we ni mjuvi wa haya mambo.
Kidubuli