Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma vizuri mada kuu utaelewa vizuri tu, acha papara soma kwa utulivuKizuri huwa kinasifiwa na wa nje sio kama wewe ulivyofanya, anyway umesema Dar pesa ni rahisi kupatikana je mnachokipata kinatosheleza mahitaji yenu ama ni wale mnaokaa kwa dada zenu walioolewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesema kweli mkuuKiukwel dar nimkoa mzuri sana, me nakumbuka mwaka 2015 nilifanya msala mmoja hivi mkoani nikawa nimeenda dar kwabmkubwa wangu aise sikujutia yaaani hela hela niliyokuwa naingiza per day kwawakati ule tena hata bila kujipeleka lesi ilinifanya niipende dar, ukiishi dar karibia vitu vyote vilivyope Tanzania utaviona vyakawaida sana kwamfano wamkoani mtu akipita kashika take away au maji safi mkononi ujue nimgeni nakama nimwenyeji tayar wataanza kukusema vibaya kama hawajakwita shorobaro, ila kwadar nimaisha yakawaida sana aise navingine vingi vyakufanana nahivyo yaani dar kila mtu anaishi awezavyo naatakavyo ilimradi usivunje sheria zanchi2 ila me napapenda dar sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuelewa sana mkuuNi kweli wigo wa kufanya biashara Dar ni mkubwa na sababu zake zipo wazi tu 'purchasing power' na uwingi wa watu ni mkubwa kuliko mikoa mingi kwahiyo kama mtu upo 'focus' kutoboa rahisi, sema kama mtoa mada alivyotoa angalizo shida tukija tulipotoka hizi starehe zina turudisha nyuma baadhi yetu
Sema Dar kwangu binafsi sijaipenda kijamii zaidi kuna 'social unrest ' nyingi sababu za uwingi wa watu na mipango miji isiyo imara kuchukua watu wengi kwa mara moja, maana kuna mipango toka enzi za mjerumani watu wakiwa wachache mpaka leo hapa pia kama Taifa inaonyesha udhaifu wetu wa kupanga miji yetu hasa mikubwa, sababu watu lazima watahama kutoka ktk maeneo ya sio na matumaini kuja 'at least' kwenye matumaini ya maisha
Hapa pia changanya na wakuu wa mikoa dizaini ya Bashit
Nakuelewa sana mkuuNi kweli wigo wa kufanya biashara Dar ni mkubwa na sababu zake zipo wazi tu 'purchasing power' na uwingi wa watu ni mkubwa kuliko mikoa mingi kwahiyo kama mtu upo 'focus' kutoboa rahisi, sema kama mtoa mada alivyotoa angalizo shida tukija tulipotoka hizi starehe zina turudisha nyuma baadhi yetu
Sema Dar kwangu binafsi sijaipenda kijamii zaidi kuna 'social unrest ' nyingi sababu za uwingi wa watu na mipango miji isiyo imara kuchukua watu wengi kwa mara moja, maana kuna mipango toka enzi za mjerumani watu wakiwa wachache mpaka leo hapa pia kama Taifa inaonyesha udhaifu wetu wa kupanga miji yetu hasa mikubwa, sababu watu lazima watahama kutoka ktk maeneo ya sio na matumaini kuja 'at least' kwenye matumaini ya maisha
Hapa pia changanya na wakuu wa mikoa dizaini ya Bashit
Soma mada kuu kwanzaDar si ndiyo wanaume wanashindia chips mishikaki, maji ya kunywa wanafungiwa plastic maji ya jangwani na kipindupindu hakiishi, Dar ambako maji muda wote ni shida wanaishi kwa kuuziwa maji ya visima
Ukija usafiri ni shida tu, joto ndo husiseme na kwa sababu hiyo malaria haishi, wizi na wingi wa vibaka, ukipaki gari kioo au taa zimeondoka. Sasa sijui mtoa mada anaongelea raha gani zaidi ya kunukiana vikwapa
acha kufananisha darr na uchafu huooomwanza ndio mkoa bora kuliko yote kuishi.
Ulioyasema kuna ukweli kiasi lakini si yote fursa za biashara ni mahali popote kutegemea na nature ya biashara yako. Dsm ina advantage ya kuwa population kubwa(huge market) office nyingi hivyo kutoa urahisi Kama u nataka huduma yoyote pia ni import destination ambayo bidhaa nyingi imported zinafikia. Ila mikoani kunafursa nyingi sana untaped Kama ni mjanja unapiga hela kisenge.Huu ndio ukweli japo wale wanao jiita wamikoani watapinga na kutoa povu lakutosha kabisa kufilia mitumba walio nunua kwa mafungu siku za minada huko vijijini kwao ili waweze kutazamika angalau wanapoingia jijini.
Kokote duniani unapoitaja tz watu watakimbilia kwanza kuhoji kuhusu dar mana hata kama mikoa mingine haijui lakini dar ataijua tu.
Hapa ni sehemu pekee yenye kila aina ya fursa katika nchi hii.
Ukiwa hapa kama una akili zako timamu huwezi kosa pesa, kwasababu kuna kila njia za kutafutia pesa tofauti na mikoa mingine ambapo njia za kutafuta pesa ni chache.
Kuna baadhi ya mikoa hapa nchini mtu unaweza kumaliza wiki hujaingiza hata sh 5000.
Yote ni kwasababu hakuna njia za utafutaji pesa tofauti na kilimo na ufugaji.
Lakini kwa dar hali ni tofauti hapa hata mpiga debe anapata vijisenti japo wengi wangi hawana mpangilio wa matumizi.
Hasa wale wanaohamia kutoka mikoani ambao huchanganywa na starehe kuliko kuweka malengo.
Ukiwa na akili timamu mafanikio kwa dar yatakujia haraka kuliko sehemu yoyote pale tz.
Ni sehemu ambayo kila aina ya bidhaa hupatikana kwa wepesi sana.
Kuna baadhi ya mikoa hata ukiwa na pesa lakini utakosa baadhi ya bidhaa na hata zikiwepo bado zitakuwa na being ya juu.
Kuna mkoa fulani nilikuta vocha ya 1000 ikiuzwa 1200.
Maisha ya kileo yapo dar, hapa kuna kila technology ambayo ni muhimu kwa maisha ya kisasa tofauti na mikoa mingine.
Hapa mtu unaishi kwa kujiamini na bila kuangalia fulani anaongea nini kazi inakuwa ni kwako kuchanganua lipi ni lipi.
Kwa wale wapenda starehe hapa ndio penyewe, utapata kila aina ya starehe unayo itaka kwa kadri mfuko wako unavyo ruhusu.
Nasema mfuko wako kwasababu hapa hakuna undugu kwenye mambo ya starehe hivyo katika nyanja hii tumia kile ulicho nacho ili kuepusha madhara mengine hasa kwa wageni mlizingatie sana hili.
Kama hujui nini maana yake ni nini basi huwezi elewa namaanisha nini.
Fursa za ajira nyingi zipo hapa, ila ukiwa mvivu wa kufikiri unaweza usiione hata moja lakini wenzako wanakupita kwa kasi wakielekea kwenye mafanikio.
Mwisho niseme karibuni sana dar kwetu.
Pia nitumie nafasi hii kuwakumbusha kuwa adui yako mkubwa unapokanyaga dar ambaye unatakiwa kuwa makini nae ni starehe.
Pia msisahau ninyi wageni wetu ile methali isemayo Jogoo la shamba haliwiki mjini.
Mkija hapa kuweni wapole ujanja wa huko kwenu karambangaze hauwezi kuwasaidia hapa jiji.
Ahsante sana,
Furahia maisha na dar yetu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwanaume wa Dar katika ubora wako, acha kuisifia sana Dar Tanzania yetu ni moja mikoa yote tunategemeana, usidhani kwa kuwa Dar ni jiji kubwa limejitosheleza kwa kila kitu.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Naomba Mungu aniepushe nisije kufika dar[emoji2]
Kidubuli
Wasiofika Dar wanatamani kufika ili waione ikoje lakini yeye anaomba asifike!!Huyu mwenyeji sana huyu
Ni mkoa gani gharama za maisha ziko chini mkuu??Uko dar kupoje kwani????maana mnapata hela lakini mna maisha magumu sana.hela kupatikana rahisi lakini cost ya kuishi kubwa,
Sent using Jamii Forums mobile app