Mbangaizaji wa Taifa
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 493
- 844
Kuna haja washauri wa Mwenyekiti Mbowe kumshauri upya.
======
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Jimbo la Ukonga jijini Dar Es Salaam, Gaston Makweta pamoja na Katibu wa Jimbo hilo Robert Nyambuya wametangaza kumuunga mkono Makamu Mwenyekiti Bara wa chama hicho Tundu Lissu katika uchaguzi wa Mwenyekiti wa chama kwa ngazi yaTaifa
Soma Pia: Simiyu: Wajumbe Wa Mkutano Mkuu Chadema watangaza rasmi kumuunga mkono Tundu Lissu Uenyekiti Taifa, Wanakuwa ni Mkoa wa 17 sawa na 55% ya Mikoa yote
Wakizungumza na wanahabari leo Januari 16,2025 wameeleza sababu kubwa iliyowafanya kuamua kumuunga mkono Lissu ni kutaka kuona mabadiliko ya kweli
katika chama chao ambapo wameeleza kuwa mtu pekee wanayeamimi anaweza kuyaleta ni Tundu Lissu.