Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hao sio viongozi wa maeneo hayo?Unakusanya wahuni unaita press - unajidanganya mwenyewe !!
Kazi ishaishaaa!!
Mmesikika SAWA,lakini 21/01/2025 ndiyo fainali na si vinginevyo.Kuna haja washauri wa Mwenyekiti Mbowe kumshauri upya.
======
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Jimbo la Ukonga jijini Dar Es Salaam, Gaston Makweta pamoja na Katibu wa Jimbo hilo Robert Nyambuya wametangaza kumuunga mkono Makamu Mwenyekiti Bara wa chama hicho Tundu Lissu katika uchaguzi wa Mwenyekiti wa chama kwa ngazi yaTaifa
Soma Pia: Simiyu: Wajumbe Wa Mkutano Mkuu Chadema watangaza rasmi kumuunga mkono Tundu Lissu Uenyekiti Taifa, Wanakuwa ni Mkoa wa 17 sawa na 55% ya Mikoa yote
Wakizungumza na wanahabari leo Januari 16,2025 wameeleza sababu kubwa iliyowafanya kuamua kumuunga mkono Lissu ni kutaka kuona mabadiliko ya kweli
katika chama chao ambapo wameeleza kuwa mtu pekee wanayeamimi anaweza kuyaleta ni Tundu Lissu.
You'll believe in your noseI am not believing my eyes
Hahahahaa...duuhWapo wanaambukizana ukimwi tu huko Dodoma sasa hivi.
Mpaka wanaccm mnamuonea hurumaMbowe unapigwa.
Just surrender brother .
Hauna deni na mtu.
Aibuke tu asema alikuwa anazuga Amemwachka Lissu
Ni kwel kabisa mkuu. Sio ile chadema ambayo alikua akisema tu chochote watu wanamtetemekea na kumuogopa.Mheshimiwa Mbowe hujachelewa huu ndio muda wa kutafakari na kuilinda heshima yako uliyoijenga kwa miaka 21, kwa sasa Chadema ni taasisi kubwa kuliko unavyodhani, tumia busara zilezile kama kawaida yako.
Tunajifunza, maana huenda wao wanasubiri kumkataa kwa kura, kimya kimya wasiharibu udugu.Wanaomkubali kimyaaaaaa
Hamjifunzi tu?
Mungu mwemaKuna haja washauri wa Mwenyekiti Mbowe kumshauri upya.