DAR: Mkutano Mkuu wa Jimbo la Ukonga Watangaza kumkataa Mbowe na kumuunga mkono Lissu

Kuna haja washauri wa Mwenyekiti Mbowe kumshauri upya.
======
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Jimbo la Ukonga jijini Dar Es Salaam, Gaston Makweta pamoja na Katibu wa Jimbo hilo Robert Nyambuya wametangaza kumuunga mkono Makamu Mwenyekiti Bara wa chama hicho Tundu Lissu katika uchaguzi wa Mwenyekiti wa chama kwa ngazi yaTaifa

Soma Pia: Simiyu: Wajumbe Wa Mkutano Mkuu Chadema watangaza rasmi kumuunga mkono Tundu Lissu Uenyekiti Taifa, Wanakuwa ni Mkoa wa 17 sawa na 55% ya Mikoa yote

Wakizungumza na wanahabari leo Januari 16,2025 wameeleza sababu kubwa iliyowafanya kuamua kumuunga mkono Lissu ni kutaka kuona mabadiliko ya kweli
katika chama chao ambapo wameeleza kuwa mtu pekee wanayeamimi anaweza kuyaleta ni Tundu Lissu.

Aridhi ya nchi imemkubali mh lissu
 
Chadema ni balaa, yaani hata Mkutano wa Ukonga umeufunika wa CCM Dodoma
 
Wanaomkubali kimyaaaaaa

Hamjifunzi tu?
 
Mbowe ni kiumbe wa ajabu zaidi ulimwenguni, kati ya heshima na kuaibika, ye kaamua kuchagua kuaibika.
 
Kuna haja washauri wa Mwenyekiti Mbowe kumshauri upya.
======
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Jimbo la Ukonga jijini Dar Es Salaam, Gaston Makweta pamoja na Katibu wa Jimbo hilo Robert Nyambuya wametangaza kumuunga mkono Makamu Mwenyekiti Bara wa chama hicho Tundu Lissu katika uchaguzi wa Mwenyekiti wa chama kwa ngazi yaTaifa

Soma Pia: Simiyu: Wajumbe Wa Mkutano Mkuu Chadema watangaza rasmi kumuunga mkono Tundu Lissu Uenyekiti Taifa, Wanakuwa ni Mkoa wa 17 sawa na 55% ya Mikoa yote

Wakizungumza na wanahabari leo Januari 16,2025 wameeleza sababu kubwa iliyowafanya kuamua kumuunga mkono Lissu ni kutaka kuona mabadiliko ya kweli
katika chama chao ambapo wameeleza kuwa mtu pekee wanayeamimi anaweza kuyaleta ni Tundu Lissu.

Kwani Mbwoooye mwnyw anasemaje,,🤷
 
Mbowe atakuwa very lonely kama atapora uchaguzi na kushinda kijanja. Amepoteza kabisa support ya majembe yote kundini pamoja na wadau muhimu kama TLS

Sikio la kufa halisikii dawa though na kama akipigwa kwenye sanduku la kura, somehow heshima yake kidogo iliyobaki itaporomoka kabisa
 
Back
Top Bottom