Huko na hata kwenye mwenge sii mnakuwa busy kutiana mimba na kuambukizana ngwengwe tuu!Tupo bize na mambo muhimu. Kuna 8 8 Simiyu
Tofauti na CCM hakuna chama chenye ilaniIlani ya CHADEMA ikitekelezwa inaweza kuifikisha Tanzania sehemu nzuri sana
Ghafra tena?Matapeli wa CHADEMA huo ni mkusanyiko je corona imeisha ghafra?!? au ndo ipo mahakamani tuu
cc; @Mwanahabarihuru hebu wekea wananchi softcopy ya ilani watu wapitie hapa.Ilete hapa watu waisome acha kukaa na material kama form One unajifungia nayo chumbani paper ikija inakuchomoa
Mahakamani hawakuhudhuria kwa hoja za kujikinga na Corona ila hapo wapo wanatanua midomoGhafra tena?
Hakuna watu hapa nyakabindi,zaidi ya wawakilishi wa taasisi na wizara mbalimbali,yamekuwa maonyesho ya kuonyeshana wao kwa wao viongozi matrekita na zana za kilimo.Tupo bize na mambo muhimu. Kuna 8 8 Simiyu
Mkuu nogesha na creenshot ya hiyo Twitter..!Habari hii ni kwa mujibu wa tweet ya East Africa TV ambapo wameripoti kuwa, Wajumbe wa Mkutano Mkuu wamemptisha Lissu kuwa Mgombea Uraisi wa CHADEMA kwa asilimia 100.
Lissu The GreatestHabari hii ni kwa mujibu wa tweet ya East Africa TV ambapo wameripoti kuwa, Wajumbe wa Mkutano Mkuu wamemptisha Lissu kuwa Mgombea Uraisi wa CHADEMA kwa asilimia 100.
Ccm choka mbaya nyinyi ndio mmegeuka kuokoteza vimaneno maneno na kudandia matukio??Nimeona niwaletee slogan za vyama kadhaa kuelekea uchaguzi mkuu wa October, 2020.
Acha Kazi Iendelee........CCM
Sasa Basi.................. Chadema
Kazi na Bata...............ACT wazalendo
Tuwapime kuanzia hapo.
Maendeleo hayana vyama!