laana ya bi ushungi.Ye yuko tu anazurura dubaiHii nchi itakuwa imepigwa laana
Workshop zipi zile za maseremala?Workshop
Majaliwa ashtuliwe mara mojaKuna moto mkubwa pale Mbezi kwa Komba
Bima italipaSikuweza kupiga picha,ilo joto lake hadi barabaran kiasi ni hatari Mno,jamaa wamefirisika kwa hali ile
Hao komba wamekufa?Kuna moto mkubwa pale Mbezi kwa Komba
Kuna moto mkubwa pale Mbezi kwa Komba
Ile sio landslide banaTunapigwa na kitu kizito chenye ncha kali, nani yuko nyuma ya haya mambo
Yaani ndani ya wiki mbili death toll ni 14+15+1+1+60+8 baki ya huko mahospitalini
- Ajali ya Baraka Lindi watu 14
- Ajali ya Allys Manyoni watu 15
- Polisi kuua mlinzi Sinza
- Polisi kuua mjasiliamali Iringa
- Land slide Hanang watu 60+
- Moto mkubwa kwa Komba Mbezi
- Watu 8 wafa kwa mafuriko Tanga
- Jazieni mengine
RC wa Manyara jana kasema kulitokea land slide huko milimani ikafunika kijijiIle sio landslide bana
Huyu Mwanashheria njaa anaripoti tukio kishamba sana, wa mkoani huyu bila shaka.Majaliwa ashtuliwe mara moja
Bandari kupewa Waarabu..Tunapigwa na kitu kizito chenye ncha kali, nani yuko nyuma ya haya mambo
Yaani ndani ya wiki mbili death toll ni 14+15+1+1+60+8 baki ya huko mahospitalini
- Ajali ya Baraka Lindi watu 14
- Ajali ya Allys Manyoni watu 15
- Polisi kuua mlinzi Sinza
- Polisi kuua mjasiliamali Iringa
- Land slide Hanang watu 60+
- Moto mkubwa kwa Komba Mbezi
- Watu 8 wafa kwa mafuriko Tanga
- Jazieni mengine