Dar: Moto mkubwa wazuka Mbezi Tangi Bovu

Tunapigwa na kitu kizito chenye ncha kali, nani yuko nyuma ya haya mambo
  1. Ajali ya Baraka Lindi watu 14
  2. Ajali ya Allys Manyoni watu 15
  3. Polisi kuua mlinzi Sinza
  4. Polisi kuua mjasiliamali Iringa
  5. Land slide Hanang watu 60+
  6. Moto mkubwa kwa Komba Mbezi
  7. Watu 8 wafa kwa mafuriko Tanga
  8. Jazieni mengine
Yaani ndani ya wiki mbili death toll ni 14+15+1+1+60+8 baki ya huko mahospitalini
Kuna wale 6 hujawasikia?
 
Kuna moto mkubwa pale Mbezi kwa Komba.
---

Moto ambao bado chanzo chake hakijafahamika umeteketeza baadhi ya maduka yaliyopo hatua chache kutoka Stendi mpya ya Mwenge Jijini Dar es salaam.

Wakati wakiendelea kusubiri Jeshi la Zimamoto kuwasili, @AyoTV_ ambayo ipo eneo la tukio imeshuhudia baadhi ya Mashuhuda wakifanya jitihada za kuuzima moto huo ambao hata hivyo umeonekana kuwazidi nguvu bila mafanikio.

Bado haijajulikana idadi ya maduka yaliyoteketea ama kiwango cha hasara
Mbezi kwa Komba na stendi mpya ya Mwenge!? Mbona haijakaa vizuri, katikati kuna kambi ya Lugalo moto umeruka!
 
Tunapigwa na kitu kizito chenye ncha kali, nani yuko nyuma ya haya mambo
  1. Ajali ya Baraka Lindi watu 14
  2. Ajali ya Allys Manyoni watu 15
  3. Polisi kuua mlinzi Sinza
  4. Polisi kuua mjasiliamali Iringa
  5. Land slide Hanang watu 60+
  6. Moto mkubwa kwa Komba Mbezi
  7. Watu 8 wafa kwa mafuriko Tanga
  8. Jazieni mengine
Yaani ndani ya wiki mbili death toll ni 14+15+1+1+60+8 baki ya huko mahospitalini
Uzembe.
 
Kuna moto mkubwa pale Mbezi kwa Komba.
---

Moto ambao bado chanzo chake hakijafahamika umeteketeza baadhi ya maduka yaliyopo hatua chache kutoka Stendi mpya ya Mwenge Jijini Dar es salaam.

Wakati wakiendelea kusubiri Jeshi la Zimamoto kuwasili, @AyoTV_ ambayo ipo eneo la tukio imeshuhudia baadhi ya Mashuhuda wakifanya jitihada za kuuzima moto huo ambao hata hivyo umeonekana kuwazidi nguvu bila mafanikio.

Bado haijajulikana idadi ya maduka yaliyoteketea ama kiwango cha hasara
Pale wanaopaswa kuwaanvakia raia wanapowaangamiza kiuchumi kwa.....
 
Bandari kupewa Waarabu..
TANESCO kusuasua ...
Makonda karudi...
Chalamila kutaka tumkome kama ziwa la mama zetu..
Naibu wa wizara ya katiba kufanya ukatili wa kutisha...
Jangwani hakupitiki..
Watoto wetu hawapendi wala kujuwa masomo ya hesabu na sayansi..
Petroli bei juu, chakula na mahitaji bei juu..
Mvua yatutoa show na miundo mbinu bomu...
Viongozi bata, magari ya kifahari na nyumba za kufa mtu, raia tutajijuwa...
Nauli juu mishahara kiduchu
 
Kuna moto mkubwa pale Mbezi kwa Komba.
---

Moto ambao bado chanzo chake hakijafahamika umeteketeza baadhi ya maduka yaliyopo hatua chache kutoka Stendi mpya ya Mwenge Jijini Dar es salaam.

Wakati wakiendelea kusubiri Jeshi la Zimamoto kuwasili, @AyoTV_ ambayo ipo eneo la tukio imeshuhudia baadhi ya Mashuhuda wakifanya jitihada za kuuzima moto huo ambao hata hivyo umeonekana kuwazidi nguvu bila mafanikio.

Bado haijajulikana idadi ya maduka yaliyoteketea ama kiwango cha hasara
Habari ya kuambiwa hii , mtu unapost kitu usichokuwa ba uhakika nacho, mwisho wa siku unapost uongo.
Mwenge na Mbezi kwa Komba kuna umbali wa kilometa 4.
 
Back
Top Bottom