Dar: Moto mkubwa wazuka Mbezi Tangi Bovu

Dar: Moto mkubwa wazuka Mbezi Tangi Bovu

MOTO HAUANZAGI MCHANA NI USIKU TU
[emoji848]

ova
 
Wakirudi hapo hao wafanyabiashara..

Sijuiiiii.....

Ova
 
Kuna moto mkubwa pale Mbezi kwa Komba.
---


Moto ambao chanzo chake hakijajulikana umezuka katika eneo la wafanyabiashara wa samani, lililopo Tangi Bovu-Kwa Komba, mkoani Dar es Salaam, huku ikidaiwa kuwa moto huo umeanza majira ya saa nne usiku ambapo uliendelea kuteketeza mali katika eneo hilo hadi majira ya saa sita usiku
View attachment 2833467
Nauita Moto wa Kimkakati na Mission ya Kibiashara na Jambo la Bima kuwa Accomplished. Sihitaji kuulizwa Swali lolote tafadhali..
 
Back
Top Bottom