Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,681
- 8,887
Taa zimeshawaka kwenda 2025, kama ni kweli basi kuna kambi imeona ni vigumu kutoboa ndani ya chama hivyo wameona wabadili upepo. Walioshika hatamu chamani ni wazoefu wa Siasa na Umoja Party inaweza kula 'keleb' kwenye ofisi ya msajili wa vyama vya siasa.
Anyways, kanda ya ziwa hiyo inarudi zake upinzani, atakayecheza karata vizuri ataipata.