Dar Mpya: Mawaziri na wabunge wako nyuma ya Umoja Party. Wengi watiifu kwa hayati Magufuli

Dar Mpya: Mawaziri na wabunge wako nyuma ya Umoja Party. Wengi watiifu kwa hayati Magufuli

Kama watafanikiwa kujiengua WATAPUNGUZA nguvu ya chama Dola, wakati huo huo WATAONGEZA nguvu ya upinzani. Kama wapinzani watachanga karata vizuri tembo aweza lala Chali.
Kwa Tume gani ya uchaguzi?
 
Kwa lugha nyepesi ni waliokuwa wanufaika Wa utawala Wa hayati
Tanzania wanasiasa wengi hawako kwenye vyama kwa sababu ya itikadi. Hata wapambe wa mama Samia wengi sasa hivi wanampigania kwa sababu ya matumbo yao tu. Hapa ni makundi mawili ya fisi yanapambania mzoga.
 
Kama watafanikiwa kujiengua WATAPUNGUZA nguvu ya chama Dola, wakati huo huo WATAONGEZA nguvu ya upinzani. Kama wapinzani watachanga karata vizuri tembo aweza lala Chali.
Ndoto za mchana. Yaani CCM waondoke madarakani kwa katiba hii hii? Kichekesho.

Hao waanzilishi wa Umoja Party wanajua kabisa kwasasa hawana mvuto baada ya marehemu baba yao kuwatoroka mbinguni hivyo 2025 hawana chao.

Hatuwezi kuchagua viongozi eti kwasababu ya makasiriko tu waliyonayo kuifiwa na mlezi wao. Chama lazima kiwe na maono yao yanayojitegemea sio kutegemea maono ya marehemu.
 
Kama watafanikiwa kujiengua WATAPUNGUZA nguvu ya chama Dola, wakati huo huo WATAONGEZA nguvu ya upinzani. Kama wapinzani watachanga karata vizuri tembo aweza lala Chali.
CCM bado ipo sana hadi hapo mabadiliko ya katiba yatakapofanyika. Pia kufanyika kwa mabadiliko pekee haina maana kwamba kutaiondoa ccm madarakani lahasha!

Nao ccm watakuja na strategies zinazoendana na mabadiliko ya katiba.
 
Kama shida yao ni kupata karuzuku kwa kupewa wabunge wawili basi watafanikiwa maana ccm hawana hiyana watagawa kidogo viti vya ubunge ili wasisimangwe na mabeberu.

Marehemu tu ndo alikosea kukomba kura za wapinzani wote hadi akaanza tena kuiingiza serikali gharama kubwa ya kununua kina Mdee na genge lake viti maalum ili wapate msaada kwa mabeberu.
 
Ndoto za mchana. Yaani ccm waondoke madarakani kwa katiba hii hii? Kichekesho.

Hao waanzilishi wa Umoja Party wanajua kabisa kwasasa hawana mvuto baada ya marehemu baba yao kuwatoroka mbinguni hivyo 2025 hawana chao...
Jifunze nn kilitokea hapo jirani. Kwa KATIBA Ile Ile Moi alitangaza kuwa hayupo wa kuingia KANU, upinzani ulitoka ndani ya chama na Serikali yake KIKAFA. Katiba wamekuja kuandikwa badae.
 
Interesting.

Kama hao masupporter hawajafanikisha usajili wa polisi, JWTZ , TISS, tume ya uchaguzi na msajili kwenye hicho chama, basi warudi kijiweni kuendelea kunywa wanzuki na kusimuliana kumbukumbu nzuri za jiwe.

Watu wakiambiwa katiba mpya ni muhimu kweli kweli wanashindwa kuelewa. Wanakimbilia kuanzisha chama cha siasa based on sentiments and nostalgia for a deceased person!
Hili suala la kukataa katiba mpya na mfumo mpya kabisa wa utawala Tanzania limewaliza wanasiasa wengi na bado litaendelea kuliza wengine. Ni suala la muda, na ni kundi gani liko jikoni tu.

Lowassa baada ya kutemwa na CCM alikiona cha mtema kuni na akabaki kulialia wakati alikuwa na uwezo wa kubadilisha mfumo kabla. Haya, Magufuli naye alipokuwa jikoni, timu Msoga na kina Kinana walikuwa wanalialia. Likatokea lililotokea na sasa wako jikoni, gemu limegeukia kwa timu mwendazake.

Na timu Samia nayo isipokubali kuleta mabadiliko ni jambo la muda tu wanaweza kujikuta kwenye wakati mgumu kuliko makundi mengine yote yaliyopita.
 
Taa zimeshawaka kwenda 2025, kama ni kweli basi kuna kambi imeona ni vigumu kutoboa ndani ya chama hivyo wameona wabadili upepo. Walioshika hatamu chamani ni wazoefu wa Siasa na Umoja Party inaweza kula 'keleb' kwenye ofisi ya msajili wa vyama vya siasa.

Anyways, kanda ya ziwa hiyo inarudi zake upinzani, atakayecheza karata vizuri ataipata.
Sukuma gang Kwisha habari yao
 
Hivi mtu anawezaje kuwa mtiifu kwa marehemu? Hii kitu sielewi kabisa.
Watu hawatii marehemu wanatii falsafa zake za uongozi. Kwa kuwa yeye ndo alianzisha aina hiyo ya uongozi watu sasa wanapitia kivuli chake kujipambanua/kujinadi Kwa jamii.
 
Taa zimeshawaka kwenda 2025, kama ni kweli basi kuna kambi imeona ni vigumu kutoboa ndani ya chama hivyo wameona wabadili upepo. Walioshika hatamu chamani ni wazoefu wa Siasa na Umoja Party inaweza kula 'keleb' kwenye ofisi ya msajili wa vyama vya siasa.

Anyways, kanda ya ziwa hiyo inarudi zake upinzani, atakayecheza karata vizuri ataipata.
Mpina hakosi kwenye hiyo list pamoja na wale Covid-19 lazima watajichanganya humo.
 
Kuna genge ndani ya CCM linatajwa kuunda Umoja Party kuendeleza Umagufuli Tanzania, sasa kati ya vitu muhimu ambavyo Magufuli anakumbukwa navyo ni kuzuia vyma vya siasa kujieneza kwa kupiga marufuku mikutano yao pamoja na sheria kali za vyama

Magufuli mara nyingi alisikika akisema CCM itatawala milele na alichukulia wanaoikosoa CCM kama ni wahaini wasiotakiwa kuonewa huruma, Umoja Party hawaoni watakuwa wanasaliti maono ya Magufuli?

pia watashinda vipi uchaguzi? Magufuli alianzisha ujtaratibu wa kuchagua makada wa CCM kuwa Wakurugenzi ambao ndio watakuwa wanasimamia uchaguzi na kutangaza matakoeo, na kamwe hawatatangaza mtu wa upinzani labda CCM yenyewe iamue kuwaachia, je Umoja Party watashinda vipi hata kiti kimoja cha ubunge kwa misingi hii ya Magufuli?

Kuanzisha chama cha upinzni kumuenzi Magufuli ni usaliti mkubwa kwa Magufuli ambaye alikuwa akiona upinzani ni maadui
 
Taa zimeshawaka kwenda 2025, kama ni kweli basi kuna kambi imeona ni vigumu kutoboa ndani ya chama hivyo wameona wabadili upepo. Walioshika hatamu chamani ni wazoefu wa Siasa na Umoja Party inaweza kula 'keleb' kwenye ofisi ya msajili wa vyama vya siasa.

Anyways, kanda ya ziwa hiyo inarudi zake upinzani, atakayecheza karata vizuri ataipata.

Kama ni wa kweli wajiuzuru wajiunge na hicho chama. Halafu wabunge gani hao, wa hili bunge la CCM. Tusubiri tuone.
 
Taa zimeshawaka kwenda 2025, kama ni kweli basi kuna kambi imeona ni vigumu kutoboa ndani ya chama hivyo wameona wabadili upepo. Walioshika hatamu chamani ni wazoefu wa Siasa na Umoja Party inaweza kula 'keleb' kwenye ofisi ya msajili wa vyama vya siasa.

Anyways, kanda ya ziwa hiyo inarudi zake upinzani, atakayecheza karata vizuri ataipata.

Kanda ya Ziwa Ni chadema hakuna cha umoja party Wala Nini. Kujenga chama nchi nzima sio kazi ya siku Moja. Waulize ACT wanawaambia, Kama sio Maalim kujiunga huko wangekuwa wamepotea Moja kwa moja.
 
Back
Top Bottom