Sahihi kabisa.Kwa lugha nyepesi ni waliokuwa wanufaika Wa utawala Wa hayati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahihi kabisa.Kwa lugha nyepesi ni waliokuwa wanufaika Wa utawala Wa hayati
Kazikwe huko Chato pamoja na huyo marehemu kudhihirisha utiifu wako.Hata mitume unayoifuata kuuimba na kuitukuza ni marehemu wa muda mrefu sanaaaa
Yuko Kishapu anachunga ng'ombe na kulima pamba!Duuh hata sijui siku hizi yuko wapi....walimtanguliza jamaa akautosa ubunge akiamini kina Ndugai na Marehemu Sitta wapo nyuma yake....walivyopiga U-turn hakuamini...
UP imeshaanza kuwapa pumzi ya motoKazikwe huko Chato pamoja na huyo marehemu kudhihirisha utiifu wako.
Kwa Tume gani ya uchaguzi?Kama watafanikiwa kujiengua WATAPUNGUZA nguvu ya chama Dola, wakati huo huo WATAONGEZA nguvu ya upinzani. Kama wapinzani watachanga karata vizuri tembo aweza lala Chali.
Mmmh kuna mchangiaji amesema alishafariki!Yuko Kishapu anachunga ng'ombe na kulima pamba!
Tanzania wanasiasa wengi hawako kwenye vyama kwa sababu ya itikadi. Hata wapambe wa mama Samia wengi sasa hivi wanampigania kwa sababu ya matumbo yao tu. Hapa ni makundi mawili ya fisi yanapambania mzoga.Kwa lugha nyepesi ni waliokuwa wanufaika Wa utawala Wa hayati
Ndoto za mchana. Yaani CCM waondoke madarakani kwa katiba hii hii? Kichekesho.Kama watafanikiwa kujiengua WATAPUNGUZA nguvu ya chama Dola, wakati huo huo WATAONGEZA nguvu ya upinzani. Kama wapinzani watachanga karata vizuri tembo aweza lala Chali.
CCM bado ipo sana hadi hapo mabadiliko ya katiba yatakapofanyika. Pia kufanyika kwa mabadiliko pekee haina maana kwamba kutaiondoa ccm madarakani lahasha!Kama watafanikiwa kujiengua WATAPUNGUZA nguvu ya chama Dola, wakati huo huo WATAONGEZA nguvu ya upinzani. Kama wapinzani watachanga karata vizuri tembo aweza lala Chali.
Jifunze nn kilitokea hapo jirani. Kwa KATIBA Ile Ile Moi alitangaza kuwa hayupo wa kuingia KANU, upinzani ulitoka ndani ya chama na Serikali yake KIKAFA. Katiba wamekuja kuandikwa badae.Ndoto za mchana. Yaani ccm waondoke madarakani kwa katiba hii hii? Kichekesho.
Hao waanzilishi wa Umoja Party wanajua kabisa kwasasa hawana mvuto baada ya marehemu baba yao kuwatoroka mbinguni hivyo 2025 hawana chao...
Hili suala la kukataa katiba mpya na mfumo mpya kabisa wa utawala Tanzania limewaliza wanasiasa wengi na bado litaendelea kuliza wengine. Ni suala la muda, na ni kundi gani liko jikoni tu.Interesting.
Kama hao masupporter hawajafanikisha usajili wa polisi, JWTZ , TISS, tume ya uchaguzi na msajili kwenye hicho chama, basi warudi kijiweni kuendelea kunywa wanzuki na kusimuliana kumbukumbu nzuri za jiwe.
Watu wakiambiwa katiba mpya ni muhimu kweli kweli wanashindwa kuelewa. Wanakimbilia kuanzisha chama cha siasa based on sentiments and nostalgia for a deceased person!
Sukuma gang Kwisha habari yao
Taa zimeshawaka kwenda 2025, kama ni kweli basi kuna kambi imeona ni vigumu kutoboa ndani ya chama hivyo wameona wabadili upepo. Walioshika hatamu chamani ni wazoefu wa Siasa na Umoja Party inaweza kula 'keleb' kwenye ofisi ya msajili wa vyama vya siasa.
Anyways, kanda ya ziwa hiyo inarudi zake upinzani, atakayecheza karata vizuri ataipata.
Watu hawatii marehemu wanatii falsafa zake za uongozi. Kwa kuwa yeye ndo alianzisha aina hiyo ya uongozi watu sasa wanapitia kivuli chake kujipambanua/kujinadi Kwa jamii.Hivi mtu anawezaje kuwa mtiifu kwa marehemu? Hii kitu sielewi kabisa.
Mpina hakosi kwenye hiyo list pamoja na wale Covid-19 lazima watajichanganya humo.