Kule Chadema alitaka kupandisha mabega wakamnyoosha🤣🤣Hivi kina Membe na Nape walipokimbilia kuanzisha ACT walivurugwa na nini CCM?
Hao jamaa naamini kweli wapo, lakini tatizo linaanzia pale ambapo mara nyingi huwa waoga wa kuweka nia zao wazi, hujificha.
Na huku kujificha kwao naona huchangiwa na tamaa tu, wanatega kutafuta vyeo, wakishavipata wanaachana na mipango yao ya kuanzisha hivi vyama niviite vya "njaa" na "hasira", ndio maana mara nyingi huwa havi exist, hujifia natural death.
ACT chenyewe hakikufa kwasababu yule msaliti wao waliyemtengeneza toka akiwa Chadema, aliendelea mbele baada ya kujifukuzisha Chadema akakitafutia usajili, ndio akajiita "supreme leader" ila kama naye angeupata ule uenyekiti aliokuwa anautaka Chadema, naamini hiyo ACT nayo leo hii isingekuwepo.
Hao loyal wa Magufuli watajuta kupinga katiba mpya na tume huru🤣🤣🤣CCM ina mizizi mirefu mno, CCM wanalindwa na Dola, CCM wana nguvu ya msajili wa vyama, CCM wanalindwa na mkurugenzi wa uchaguzi, CCM wamefanikiwa kupandikiza woga kwa watanzania WOTE! Hivyo hata kije chama gani, bure tu!
Sukuma Gang na chama chao.
Taa zimeshawaka kwenda 2025, kama ni kweli basi kuna kambi imeona ni vigumu kutoboa ndani ya chama hivyo wameona wabadili upepo. Walioshika hatamu chamani ni wazoefu wa Siasa na Umoja Party inaweza kula 'keleb' kwenye ofisi ya msajili wa vyama vya siasa.
Anyways, kanda ya ziwa hiyo inarudi zake upinzani, atakayecheza karata vizuri ataipata.
Hivi huyu jamaa aliishia wapi, daah...Hahaha wawe makini sana...wakamuulize Fred Mpendazoe alivyotoswa na Ndugai...
Subiri utaelewa tu.Hivi mtu anawezaje kuwa mtiifu kwa marehemu? Hii kitu sielewi kabisa.
Duuh hata sijui siku hizi yuko wapi....walimtanguliza jamaa akautosa ubunge akiamini kina Ndugai na Marehemu Sitta wapo nyuma yake....walivyopiga U-turn hakuamini...Hivi huyu jamaa aliishia wapi, daah...
Mie nawasubiri 2025 mtavyoibiana kura kati ya CCM na hiyo umoja party,waizi wawili mtakutana kwenye box la kupigia kuraSubir utaelewa tu.
CCM sio li-dude au li-mashine furani complex. Ni watu tuu walioji'organize tangia hapo na Watu ni binadamu na binadamu hubadirikaCCM ina mizizi mirefu mno, CCM wanalindwa na Dola, CCM wana nguvu ya msajili wa vyama, CCM wanalindwa na mkurugenzi wa uchaguzi, CCM wamefanikiwa kupandikiza woga kwa watanzania WOTE! Hivyo hata kije chama gani, bure tu!
Hivi huyu jamaa aliishia wapi, daah...
Ni ngumu sana wenye akili ndogo kuelewa,Hivi mtu anawezaje kuwa mtiifu kwa marehemu? Hii kitu sielewi kabisa.
Alifariki tena akiwa CHADEMADuuh hata sijui siku hizi yuko wapi....walimtanguliza jamaa akautosa ubunge akiamini kina Ndugai na Marehemu Sitta wapo nyuma yake....walivyopiga U-turn hakuamini...