Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila alivyokua CDM tuliaminishwa kwamba Katambi alikua moja ya vijana ambao ni think tank,hadi akapewa kugombea jimbo kubwa sana.Wajifunze kutafakari kabla ya kuropoka,uyu jamaa ana bahat tu ya kuaminiwa,ila ni bonge la bogaz kama kigwangala
Kadri nyani anavyopanda juu ya mti,ndivo anavyozid kujivua,mie katambi namfaham toka utoto wake,ni msema ovyo sanaIla alivyokua CDM tuliaminishwa kwamba Katambi alikua moja ya vijana ambao ni think tank,hadi akapewa kugombea jimbo kubwa sana.
Eti nguvu kazi nyeti ya taifa [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwa hiyo unawaambiaje Bavicha? maana tulimpa mpaka uenyekiti.Kadri nyani anavyopanda juu ya mti,ndivo anavyozid kujivua,mie katambi namfaham toka utoto wake,ni msema ovyo sana
Sina chakuwaambia Bavicha,ila nawaambia watanzania kwa ujumla yakuwa,huyu hafai ata kuwa mjumbe,ni bogaz la ajabKwa hiyo unawaambiaje Bavicha? maana tulimpa mpaka uenyekiti.
[emoji16][emoji16]Eti nguvu kazi nyeti ya taifa [emoji16][emoji16][emoji16]
Katika vijitu vijinga Samia ameviacha kwenye uwaziri ni pamoja na haka kajamaa.Hakajielewi na kajinga sn
MBOWE FOREVERKwa hiyo unawaambiaje Bavicha? maana tulimpa mpaka uenyekiti.
Hawawezi mpaka waagizwe na mama.UVCCM watatoa tamko Katambi ajiuzulu.
Mawazo yote yana mapungudu makubwa. Yamekaa kama ilani ya uchaguzi. Utekelezaji wake utakuwa chaotic na pengine impossible.Ndani ya miaka 3 jinsi ya kuleta maendeleo na kumaliza tatizo la ajira nchini.
1.Ondoa futa kodi zote za kuingiza magari ya mizigo na abiria nchini kodi yake utaipata mara mbili yake kupitia indirect tax.Kwenye mafuta,leseni za udereva,fine za traffic, parking fee,ushuru wa stand,spare za magari,leseni na vibali mbalimbali.Gari moja uajiri si chini ya vijana 3.
2.Toa ruzuku kwenye viwanda vya kuzalisha matrekta wazalishe matreka mengi waje watuuzie wakulima kwa robo bei trekta moja uajiri zaidi ya watu wanne.
3.Jenga schemes za umwagaliaji KILA kijiji upitapo mto pande zote mbili watu walime mwaka mzima ni aibu sana kwa maji ya mito kumwaga maji yake baharini badala ya mashambani.Soko la mazao nje ya nchi lipo tele
4.Jenga vyuo vya ujuzi kila kata kopesha vijana ujuzi baada ya kumaliza darasa la saba wakapate ujuzi wautakao.
Kukopesha vijana waende chuo kikuu kisha warudi mtaani kuendesha bodaboda na kuwa machinga ni upotevu Mkubwa Sana wa kodi zetu na kuongeza idadi ya masikini nchini.
5.Fungua mipaka watu wauze watakapo nje ya nchi kuna masoko tele.Legeza masharti ya vibali Ili export ikue.
Ni sekta mbili tu zingine takataka hazifikii kilimo na madini kwa kuajiri vijana wote nchini na kuongeza pato la taifa bila kutegemea kukopa na kukamua kodi wananchi.
6.Peleka KILA kijiji mashine za kutengeneza interlocking block na vigae Ili watz wote wajenge nyumba bora kwa gharama nafuu kabisa
Mjerumani kwa miaka 15 alituletea maendeleo makubwa Sana ccm imeshindwa nini.
Shida ni utekelezaji.Tu masikini sababu tuna viongozi masikini wa fikraMawazo yote yana mapungudu makubwa. Yamekaa kama ilani ya uchaguzi. Utekelezaji wake utakuwa chaotic na pengine impossible.
Zitafakari utaona