fundi25
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 10,378
- 11,537
Mkuu tuwafundishe wanetu hivyo muhimu sanaSisi ilikuwa unasalimia kama ni mtu mpya,unatambulishwa kisha unandoka eneo hilo,kisha wakikuhitaji unaitwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu tuwafundishe wanetu hivyo muhimu sanaSisi ilikuwa unasalimia kama ni mtu mpya,unatambulishwa kisha unandoka eneo hilo,kisha wakikuhitaji unaitwa.
Yah mbele kidogo tu paleIpo Upanga kama sijakosea karibu na Regency Hospital
Akiwa ameanza shule na miaka mingapi?Miaka 17 -18 ni umri wa A level
Kama pesa ipo huo ni upepo tu. Ungekuwa umeamua kusoma vizuri ungeshaelewa, nikusaidie, kamanda kashasema walikuwa wanacheza.Maisha ya dogo ndio yashaingia kwenye kiza...baba mtu naye anaweza kula mvua