Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Yaani huwezi amini.......Mtoto wa miaka 6?
Aseh
Wawachek wataalamu wa tiba za kiroho Ili kuiondoa ile nguvu ya ushogaHukumu imeukonga moyo wangu.
Ninamsikitikia sana mtoto aliyetendewa unyama. Nilitamani Hakimu atoe order mtoto apate tiba ya kisaikolojia maana tayari huyo shetanimtu ameshamharibia mazingira ya akili zake.
Healing proccess kwa victims ni bora sana kuliko chochote
Kama ni kweli inaweza kuwa pia ni issue za Kishirikina. Ila kwa akili za kawaida sijui aiseeUtafiti ufanyike
Maana hili swala linakuwa kwa kasi sana
Kwanini watoto wadogo?
Na bado! Huko nakpo wakamshikishe ADABU!Mwalimu wa Shule ya Global International, Daniel Chacha (26) amekutwa na hatia katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni kwa kosa la kumlawiti mtoto wa miaka 6 aliyekuwa mwanafunzi wa shule hiyo iliyopo Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam.
Mara baada ya kusomewa hukumu hiyo, Chacha alitakiwa kujitetea lakini alidondoka na kupoteza fahamu Mahakamani, akabebwa na askari magereza waliompatia huduma ya kwanza kumzindua.
Pia soma:
Video: Mwalimu anayetuhumiwa Kulawiti, Kubaka Watoto wa Shule ya Msingi asomewa MASHITAKA 6 MAHAKAMANI
Kinondoni: Tuhuma za Mwalimu kulawiti na kubaka watoto wa Shule ya Msingi, Waziri atoa siku 7 za uchunguzi
Aisee! Cha kushangaza adhabu zote hizi hazijawahi kuwa muarobaini cha zaidi kila kukicha watu wanayarudia hayo hayo.
kama ushahidi hauna mashaka, wacha azimie na afe kabisaFantasy za kipumbavu sana hizi.
Mtoto wa miaka sita unapata raha gani kumlala?
Serikali ibadilishe sheriaKama ni kweli inaweza kuwa pia ni issue za Kishirikina. Ila kwa akili za kawaida sijui aisee