Dar: Mwalimu wa aliyetuhumiwa kulawiti mtoto wa miaka 6 azimia baada ya kuhukumiwa jela maisha

Dar: Mwalimu wa aliyetuhumiwa kulawiti mtoto wa miaka 6 azimia baada ya kuhukumiwa jela maisha

Hukumu imeukonga moyo wangu.

Ninamsikitikia sana mtoto aliyetendewa unyama. Nilitamani Hakimu atoe order mtoto apate tiba ya kisaikolojia maana tayari huyo shetanimtu ameshamharibia mazingira ya akili zake.

Healing proccess kwa victims ni bora sana kuliko chochote
Wawachek wataalamu wa tiba za kiroho Ili kuiondoa ile nguvu ya ushoga
 
Kama hajaonewa Azimie tu akizinduka shughuli ipo pale pale. Hahahaha.
 
Utafiti ufanyike
Maana hili swala linakuwa kwa kasi sana

Kwanini watoto wadogo?
 
Mwalimu wa Shule ya Global International, Daniel Chacha (26) amekutwa na hatia katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni kwa kosa la kumlawiti mtoto wa miaka 6 aliyekuwa mwanafunzi wa shule hiyo iliyopo Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam.

Mara baada ya kusomewa hukumu hiyo, Chacha alitakiwa kujitetea lakini alidondoka na kupoteza fahamu Mahakamani, akabebwa na askari magereza waliompatia huduma ya kwanza kumzindua.


Pia soma:
Video: Mwalimu anayetuhumiwa Kulawiti, Kubaka Watoto wa Shule ya Msingi asomewa MASHITAKA 6 MAHAKAMANI

Kinondoni: Tuhuma za Mwalimu kulawiti na kubaka watoto wa Shule ya Msingi, Waziri atoa siku 7 za uchunguzi
Na bado! Huko nakpo wakamshikishe ADABU!
 
Back
Top Bottom