Dar: Mwalimu wa aliyetuhumiwa kulawiti mtoto wa miaka 6 azimia baada ya kuhukumiwa jela maisha

Dar: Mwalimu wa aliyetuhumiwa kulawiti mtoto wa miaka 6 azimia baada ya kuhukumiwa jela maisha

Mwalimu wa Shule ya Global International, Daniel Chacha (26) amekutwa na hatia katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni kwa kosa la kumlawiti mtoto wa miaka 6 aliyekuwa mwanafunzi wa shule hiyo iliyopo Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam.

Mara baada ya kusomewa hukumu hiyo, Chacha alitakiwa kujitetea lakini alidondoka na kupoteza fahamu Mahakamani, akabebwa na askari magereza waliompatia huduma ya kwanza kumzindua.


Pia soma:
Video: Mwalimu anayetuhumiwa Kulawiti, Kubaka Watoto wa Shule ya Msingi asomewa MASHITAKA 6 MAHAKAMANI

Kinondoni: Tuhuma za Mwalimu kulawiti na kubaka watoto wa Shule ya Msingi, Waziri atoa siku 7 za uchunguzi
 
Hivi mwanaume inakuwaje hata ubake mtoto ?
Vaseline hakuna?
Sabuni hakuna?
Shuka hakuna?
Mate yameisha mdomoni?

Zipo mbinu nyingi za kujisaidia kukitoa na stress za genye.

Ujinga kabisa.
 
Matumizi sahihi ya fahamu ndiko kunako muweka mwanadamu mbali na wanyama mwituni.......

Mwanadamu yoyote aliyeachana au kupoteza udhibiti wa fahamu wa zake hana tofauti na wanyama wa porini na hafai kuishi kwenye jamii za wanadamu wengine

Kamwe mwanadamu hawezi kubakia salama kwa kuachana na matumizi ya fahamu zake na kuamua kufuata matakwa ya nafsi.....sisi sote tuwadhaifu na nyakati fulani tunaanguka katika matamanio ya matakwa ya nafsi......lakini fahamu zetu zinatukataza kuyatenda hayo........

Watu wapo jela, wapo waliopata vilema, wapo watu waliolazimika kuhama miji na wapo watu walioaga Dunia kwa kuwa tu wameshindwa KUDHIBITI nafsi zao juu ya matamanio..........

Mungu atuzidishie ustahimilivu na ufahamu katika kupambana na nguvu ya matamanio ili tuepuke majuto ya muda mrefu maishani mwetu.....


MTU ISIPOMFAA AKILI YAKE BASI UTAMDHURU UJINGA WAKE.......



....
 
Hukumu imeukonga moyo wangu.

Ninamsikitikia sana mtoto aliyetendewa unyama. Nilitamani Hakimu atoe order mtoto apate tiba ya kisaikolojia maana tayari huyo shetanimtu ameshamharibia mazingira ya akili zake.

Healing proccess kwa victims ni bora sana kuliko chochote
Haya majitu wangekuwa wanakata dushe na kusagasaga pumbu halafu wanayaachia yarudi kujitafutia chakula yenyewe. Sasa tutalilisha maisha yake yote utadhani rais.
 
Aisee! Cha kushangaza adhabu zote hizi hazijawahi kuwa muarobaini cha zaidi kila kukicha watu wanayarudia hayo hayo.
Unajua tatizo ni nini? Usimba tu yaani kichwa cha chini kikisimama kichwa cha juu kwisha habari yake na baada ya wazungu kutoka ndipo akili zinakujia na kilio
 
kungekua na sheria mijitu kama hii ipigwe shaba uwanja wa taifa mtoto wa miaka sita unamuharibu wakati misho hapa mjini imejaa tele funza mkubwa acha akatatuliwe segerea
 
Unajua tatizo ni nini? Usimba tu yaani kichwa cha chini kikisimama kichwa cha juu kwisha habari yake na baada ya wazungu kutoka ndipo akili zinakujia na kilio
Ipo haja ya baadhi ya Me kujitahidi kukidhibiti hicho kichwa cha dauni aisee sababu ni kama kimewashinda hali ambayo wengi wao huwa inawaletea majuto baadae.
 
Alitakiwa na yeye wamlawiti kabla ya kumfunga maisha nyambaf wanawake wamejaa hadi wa buku jero anaenda kulawiti pumbaf sana huyo mwalimu shenzy kabisa
 
Na yeye angewakomoa hapo alipozimia; angezimia maisha!
Mkuu mtu kama huyo haifa azimie maisha yampasa na yeye ajutie huo ujinga alioufanya ili siku akirudi uraiani amezeeka na hana pa kuanzia awe na kumbukumbu nzuri kwamba kuna baadhi ya mambo hayafai kabisa kufanyika katika jamii.
 
Back
Top Bottom