mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Bumkin head vs Cabbage headYour ability to comprehend issues is too shalow, try and use your intellect pls
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bumkin head vs Cabbage headYour ability to comprehend issues is too shalow, try and use your intellect pls
Leave him alone my sis, some people cannot reason neither can they think critically pls
Watz tuna maneno mengi vitendo zero. Haya mambo tulitakiwa kuyakataa tokea zamani siyo sasa. Watu kama tundu lissu walipigwa lisasi zaidi ya 30. Tena ndani ya sensitive government areas, watu kimya. Watu wamepotea, wamepigwa lisasi hadharani kama mwangosi na akwilina watu kimya. Leo hii tumejificha nyuma ya id fake tunapekecha maneno yasiyo na tija. Bora tukubali wajanja waendelee kufanya watakayo, tukubali hatuna uwezo wa kufanya chochote hivy tuache kelele.
Watu wengi tutazikana id zetu humu ukweli ukiwekwa wazi. Usicheze na ukweli mkuu, maana humu kuna wanaume wamejivika uanamke na kinyume chake ni kweli. Kuna wengine physically ni watu wana status na reputations za hali ya juu lakini humu nyuma ya id fake wanaandika upuuzi hivyo hawatapenda ukweli uwekwe wazi.Namii nakuunga mkono kwa FAKE id,
Ila itokee siku yale yoote ya sirini tunayoongea mitandaoni yawekwe wazi na watu waliotuma.
Nadhani siku hiyo itakuwa kama siku ya kufunguliwa akili zetu na kugundua kila kitu ambacho mwingine anawaza.
Watu wengi tutazikana id zetu humu ukweli ukiwekwa wazi. Usicheze na ukweli mkuu, maana humu kuna wanaume wamejivika uanamke na kinyume chake ni kweli. Kuna wengine physically ni watu wana status na reputations za hali ya juu lakini humu nyuma ya id fake wanaandika upuuzi hivyo hawatapenda ukweli uwekwe wazi.
HahahahaaaTeh te he heee,
Hili nalo naona siku ya mwisho litaangaliwa. Litafumuliwa liwe waazi kabisa kila mtu na bango la Id yake.
😁😀🤣😎
Hahahahaaa
Mkuu hii itakuwa sawa kabisa na kumfumania mtu na mke/mme wa mtu. Kuna watu watakuwa wapole kama Nape alivyokuwa mdogo baada ya sauti yake ku- leak akimteta magufuli. Nyuma ya pazia watu tunafanya mambo ya ajabu sana. Ndiyo maana mimi huwa najiuliza kiimani kwa kuwa Mungu anaona kila kitu afanyacho mwanadamu uenda hakuna mtu anaendaga kwa Mungu kabisa labda kama zile sheria zake atahamua kuzipotezea, asizitumie kabisa.