KENPAULITE
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,511
- 3,313
Yes but brookside sells powdered milk, anyway hata hii tz nje ya dar kazi ni strong tea with ginger chapo and soup, i miss kenya's variety of dairy products, yoghurt za tz ni limited manzewhaat? na kule Nigeria si Uhuru alipiga deal, Brookside na KCC can be sold there.., I remeber after Raila's boycot thing..,
Eti chai ya rangi na mihogo ya sumu! 😂 😂 😂Bei ya maziwa tu nchini Tz ni 150% ya bei ya bidhaa hiyo hiyo nchini Kenya. Jamaa kila siku wanakunywa chai ya rangi na mihogo ya sumu. Yaani kunywa maziwa kwa majirani ni anasa kama bia na wakiyaonja ni tiba baada ya kunywa sumu. 😄 Sio nyumbani, sio hotelini, alafu wanakuja huku kujimwambafy. Nawaza kufanya Biashara ya maziwa kutoka Kenya (Brookside)
Hajanijibu leo siku ya piliAkikujibu muulize pia kuhusu bei ya sukari.
Mbona litre ya maziwa ni buku ya kibongo, watu hawanywi maziwa sio kwamba hawana hela ya kuyanunua, wabongo si wapenzi wa maziwa kiivyo.Bei ya maziwa tu nchini Tz ni 150% ya bei ya bidhaa hiyo hiyo nchini Kenya. Jamaa kila siku wanakunywa chai ya rangi na mihogo ya sumu. Yaani kunywa maziwa kwa majirani ni anasa kama bia na wakiyaonja ni tiba baada ya kunywa sumu. [emoji1] Sio nyumbani, sio hotelini, alafu wanakuja huku kujimwambafy. Nawaza kufanya Biashara ya maziwa kutoka Kenya (Brookside)
You live in Tz?Yes but brookside sells powdered milk, anyway hata hii tz nje ya dar kazi ni strong tea with ginger chapo and soup, i miss kenya's variety of dairy products, yoghurt za tz ni limited manze
Biz tu, but im always back and forthYou live in Tz?
Unafikanga Dar jiji la uswazi?Biz tu, but im always back and forth
😂 😂 😂 😂 What an excuse!Mbona litre ya maziwa ni buku ya kibongo, watu hawanywi maziwa sio kwamba hawana hela ya kuyanunua, wabongo si wapenzi wa maziwa kiivyo.
Sana, na some of their townsUnafikanga Dar jiji la uswazi?
Tuletee picha cha kutroll[emoji23]Sana, na some of their towns
Mbona hutuletangi picha za dreamhouses? 😂Sana, na some of their towns
Unajua one thing for sure is this people know the truth and how far ahead we are but ni wabishi tu sana, so unawacha tu wajibambe because even if you gave them facts watareject, its tanzanians nature wanajijuanga ni wabishi sanaMbona hutuletangi picha za dreamhouses? [emoji23]
Huyu mtu mwenyewe anayetoa comments hajui ni nn maana ya miundombinu na ni sifa gan mji wa kisasa unatakiwa uwe nazo.Sio mimi niliyesema bali Mtanzania aliyetembelea na kuishi miji yote miwili.
Dar needs 25 years to catch up with Nairobi, Diamond’s signee Baba Levo
Baba Levo, a Tanzanian singer, said Dar es Salaam pales compared to Nairobi. The singer praised Nairobi’s infrastructure, saying it is decades ahead of Dar.www.tuko.co.ke
Kwa doubting Thomases. Video ndio hii.............
Kwa Daresalaam ilipotoka ni inapoelekea na kasi yake ya ukuaji ni miaka 6 au 7 inatosha kuwa zaidi ya Nairobi.Sio mimi niliyesema bali Mtanzania aliyetembelea na kuishi miji yote miwili.
Dar needs 25 years to catch up with Nairobi, Diamond’s signee Baba Levo
Baba Levo, a Tanzanian singer, said Dar es Salaam pales compared to Nairobi. The singer praised Nairobi’s infrastructure, saying it is decades ahead of Dar.www.tuko.co.ke
Kwa doubting Thomases. Video ndio hii.............
Hakuna tofauti kubwa Kati ya Nairobi na dar es salaam. Angesema Johannesburg/Bangkok/Cairo huko labdaSio mimi niliyesema bali Mtanzania aliyetembelea na kuishi miji yote miwili.
Dar needs 25 years to catch up with Nairobi, Diamond’s signee Baba Levo
Baba Levo, a Tanzanian singer, said Dar es Salaam pales compared to Nairobi. The singer praised Nairobi’s infrastructure, saying it is decades ahead of Dar.www.tuko.co.ke
Kwa doubting Thomases. Video ndio hii.............
are you really sure that there are no slams in Nairobi ? have you not heard of flying toilets in kibera ?Yes ,because we know which city has modern BRT, Electric SGR,modern hospitals,no slums,good water supply,modern roads.
Boss, chafua uzi na picha za dreamhouses kwani iko nene. 🤣Sana, na some of their towns