Dar needs 25 years to catch up with Nairobi - Says Baba Levo

Dar needs 25 years to catch up with Nairobi - Says Baba Levo

whaat? na kule Nigeria si Uhuru alipiga deal, Brookside na KCC can be sold there.., I remeber after Raila's boycot thing..,
Yes but brookside sells powdered milk, anyway hata hii tz nje ya dar kazi ni strong tea with ginger chapo and soup, i miss kenya's variety of dairy products, yoghurt za tz ni limited manze
 
Bei ya maziwa tu nchini Tz ni 150% ya bei ya bidhaa hiyo hiyo nchini Kenya. Jamaa kila siku wanakunywa chai ya rangi na mihogo ya sumu. Yaani kunywa maziwa kwa majirani ni anasa kama bia na wakiyaonja ni tiba baada ya kunywa sumu. 😄 Sio nyumbani, sio hotelini, alafu wanakuja huku kujimwambafy. Nawaza kufanya Biashara ya maziwa kutoka Kenya (Brookside)
Eti chai ya rangi na mihogo ya sumu! 😂 😂 😂
You've killed me tikli!
 
Huyu anaongea Nini?? Ameenda Nairobi ya Wapi Huyu?? Anasema Nairobi Ijenge Daraja Juu ya Mto au?
 
Nairobi ni Habari Nyingine Kwa Dar tunatania tu na Vilima vyetu Ubungo na Tazara Tunavyoita Fly Over....
 
Bei ya maziwa tu nchini Tz ni 150% ya bei ya bidhaa hiyo hiyo nchini Kenya. Jamaa kila siku wanakunywa chai ya rangi na mihogo ya sumu. Yaani kunywa maziwa kwa majirani ni anasa kama bia na wakiyaonja ni tiba baada ya kunywa sumu. [emoji1] Sio nyumbani, sio hotelini, alafu wanakuja huku kujimwambafy. Nawaza kufanya Biashara ya maziwa kutoka Kenya (Brookside)
Mbona litre ya maziwa ni buku ya kibongo, watu hawanywi maziwa sio kwamba hawana hela ya kuyanunua, wabongo si wapenzi wa maziwa kiivyo.
 
Yes but brookside sells powdered milk, anyway hata hii tz nje ya dar kazi ni strong tea with ginger chapo and soup, i miss kenya's variety of dairy products, yoghurt za tz ni limited manze
You live in Tz?
 
Mbona litre ya maziwa ni buku ya kibongo, watu hawanywi maziwa sio kwamba hawana hela ya kuyanunua, wabongo si wapenzi wa maziwa kiivyo.
😂 😂 😂 😂 What an excuse!
Huwa hamkosi visingizio watanzania!
Na unga ya ugali je? Ama pia nyinyi si wapenzi wa ugali/sima kiivyo? 😂 😂
Duh!
 
Mbona hutuletangi picha za dreamhouses? [emoji23]
Unajua one thing for sure is this people know the truth and how far ahead we are but ni wabishi tu sana, so unawacha tu wajibambe because even if you gave them facts watareject, its tanzanians nature wanajijuanga ni wabishi sana
 
Sio mimi niliyesema bali Mtanzania aliyetembelea na kuishi miji yote miwili.

Kwa doubting Thomases. Video ndio hii.............

Huyu mtu mwenyewe anayetoa comments hajui ni nn maana ya miundombinu na ni sifa gan mji wa kisasa unatakiwa uwe nazo.
Yani unaleta mjadala kwa maneno ya baba levo!?
 
Sio mimi niliyesema bali Mtanzania aliyetembelea na kuishi miji yote miwili.

Kwa doubting Thomases. Video ndio hii.............

Kwa Daresalaam ilipotoka ni inapoelekea na kasi yake ya ukuaji ni miaka 6 au 7 inatosha kuwa zaidi ya Nairobi.
Nakubali Nairobi ni jiji la kisasa Afrika mashariki na kati ht Addis Ababa hakuna kitu ila Daresalaam inakua kwa kasi ambayo itachukua miaka michache kuipiku Nairobi.
 
Sio mimi niliyesema bali Mtanzania aliyetembelea na kuishi miji yote miwili.

Kwa doubting Thomases. Video ndio hii.............

Hakuna tofauti kubwa Kati ya Nairobi na dar es salaam. Angesema Johannesburg/Bangkok/Cairo huko labda

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Yes ,because we know which city has modern BRT, Electric SGR,modern hospitals,no slums,good water supply,modern roads.
are you really sure that there are no slams in Nairobi ? have you not heard of flying toilets in kibera ?
i think we should stop this madness of praising our cities to the extent we turn a blind eye of what the reality is
NB
am neither Tanzanian or kenyan, am a congolese so don't even think of involving me in your battles btn Dar and Nairobi
 
Back
Top Bottom