Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaume or wanawake?Walaaaaaahiii mtumeewww 5 moko , kimoko tuuu chaliii wanaumeeee tukapiga vitano vya afyaa boraaa hahhhahahhhgh
Ebana heeeeeh ndo ikawa hivyo ...mvua hii people zinavaa nguo hazijakauka na life linasongaa kibabere
Karibuni kwa makasiriko...
Ina maana hamna nguo za kutosha , mpaka munaamua kuvaa nguo mbichi, Sasa simtapata fungus
Baada ya 1 week jiji zima linanuka kikwapa.Watu. Woteee
Badilisha nguo tafadhali ,utavunda😅[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unamaanisha yule demu wako...Badilisha nguo tafadhali ,utavunda[emoji28]
Niombe samahani tafadhali ,muite mama mdogo or shangazi...🤣demu wako...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama minshangazi yako umenikosea adabu huombi msamaha...Niombe samahani tafadhali ,muite mama mdogo or shangazi...[emoji1787]
Niko namfulia hapa ili akirudi avae nguo safi nisipate flu or kushindwa kum-hug.
Wewe shangazi tena?😅Kama minshangazi yako umenikosea adabu huombi msamaha...
Toto huna adabu wewe [emoji1787][emoji1787]
FueniKuna wakati unakuta zote ni chafu unafua kwa pamoja.
weka no yako pm nikuchangie mrembo ukanunue nguo zakutosha usinitie aibu sawa?
sawa leta namba kabla mambo hayajawa mengi