Dar: Ofisi za MangeKimambi App zavamiwa, wafanyakazi wake wakamatwa

Wenye Ubongo mzuri tunakuelewa sana Mkuu na tunazielewa mno Hoja zako tofauti na Fools wengi Wasiokuelewa na Wanaokushambulia.
My brother it is not about ubongo, its moral issue, kama kwenu hamna morals HIYO NI KWENU huwezi kulazimisha na wengine wawe kama wewe, Privacy ya mgonjwa lazima ieshimiwe na ndio maana hata madakitari hawapendi mgonjwa atembelewe na makundi ya watu.
Unataka kuniambia kuwa Baba mange baada ya ku... rwa na njemba kibao Mange angeposti kwenye app yake kwa sababu tu ni tukio la kweli?
Angemposti baba yake?
 
Unaweza isaidia serikali unajua mengi
 
Ngoja wa kupiga naye picha aende marekani atasema tu tena bila kulazimishwa.
 
Ndio hapo sasa, eti utetezi wake ni kwamba yeye haposti uongo, kwani sisi tumesema anaposti uongo? Mfano wakati baba yake anafumuliwa ri-nda, je angepost kisa ni kweli?!!
 
Polisi Kesi ya vijana wangu ina dhamana ila toka jana mnawanyima dhamana why??? Dhamana ni haki yao. Tanzania tulishapita hiyo stage ya kufanyia ubabe na kwenda kinyume na sheria. Wapeni vijana haki yao ya dhamana.
Unafurahia Tanzania kuacha kwenda kinyume cha sheria wakati wewe umeenda kinyume cha sheria kwakupost faragha za mgonjwa anayepigania uhai wake ICU. Idiot!!
 
Heshimu Maoni ya Wenzako kama ambavyo yako yanaheshimiwa. You must be a Psychopath Case nakushauri wahi Hospitali ukatibiwe kabla hali haijawa mbaya Kwako. Zingatia sana huu Ushauri wangu tafadhali.
New member mwengine katumwa
Kwahiyo alichofanya bosi wenu ni sawa?
Huyo na wewe nendeni milembe mkatibiwe mnafanya ujinga mnaita mawazo ya mtu..
 
Yawezekana ukawa na tatizo Kubwa la Ugonjwa wa Akili ila bado hujaligundua au Watu wako wa karibu hawajakugundua. Tafuta Tiba ya haraka uweze Kupona tafadhali.
Skiliza mange
Kama ulidhani hapa jf kuna nyumbu wako na makerubi Kama Huko insta basi ulikosea Sana.

Unatakiwa ukamatwe na kupelekwa milembe ukakae Huko yote uliyofanya kwa kuumiza family za watu bado unajiona una akili? Idiot

Vichaa huwa wanajiona wapo sawa kiakili kumbe kwa nje mnavuja ubongo.
 
New member mwengine katumwa
Kwahiyo alichofanya bosi wenu ni sawa?
Huyo na wewe nendeni milembe mkatibiwe mnafanya ujinga mnaita mawazo ya mtu..
Angalia mwandiko mzee pancho utamjua tu huyu mtu..ID's kibao😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…