Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Kakufurahisha? Good download na app yake.Mbona haya mambo alianza kudhalilisha watu zamani tu,tuseme Prof Jay ndiyo binadamu kuliko wengine? Mbona watu mlikuwa mnashangilia na matarumbeta kabisa Mange akiwatusi watu......apewe ulinzi kabisa na aendelee maana anawafurahisha walio wengi sana.......kwani nini Cha tofauti mbona watu mnatoa mapovu sana
Alikuwa anawafanyia watu lakini sio mambo serious sana mfano kibamia cha lemutuz sijui takataka zingine hayo yana nini sasa?
Mtu yupo anapigania uhai wake tena ICU halafu family yake imeamua kuweka private halafu wewe unachukua Clip unasambaza wewe unachekelea.!
Ngoja siku tumfanyie baba yako au ndugu hata kaka ndio utaona.