Dar: Ofisi za MangeKimambi App zavamiwa, wafanyakazi wake wakamatwa

Dar: Ofisi za MangeKimambi App zavamiwa, wafanyakazi wake wakamatwa

Wabongo bhana kwa hiyo kisa alimpost prof jay inahalalisha ofisi zake kuvamiwa

Two wrongs doesn't make right

Tupe tafsri ya neno KUVAMIA kwa muktadha wa sakata hili
 
Sijaiona hiyo video, na staki kuiona sasa. Lakini, kama wapo makini wachunguzi wetu mpiga picha video hiyo anaweza kujulikana.

Kwanza kwa kuangalia nyuzi pembe ilipochukuliwa video hiyo, kisha "scanning" ya uelekeo huo inafanyika kwa weledi mkubwa. Hapo lazima apatikane muhusika.
 
Sijaiona hiyo video, na staki kuiona sasa. Lakini, kama wapo makini wachunguzi wetu mpiga picha video hiyo anaweza kujulikana.

Kwanza kwa kuangalia nyuzi pembe ilipochukuliwa video hiyo, kisha "scanning" ya uelekeo huo inafanyika kwa weledi mkubwa. Hapo lazima apatikane muhusika.
Ukiangalia nyuzi pembe ndo utamuona aliyechukua video? Nieleweshe tafadhali mkuu.
Mgonjwa anaonwa na watu wengi
 
Safi Sana polisi
Huyu dada anajikuta nani hivi?
Hana utu kabisa na ugonjwa wa mtu halafu ety ngwe ngwe ngwe!.

Kwanza hilo li app walio download nawaona hawana akili.
Yawezekana ukawa na tatizo Kubwa la Ugonjwa wa Akili ila bado hujaligundua au Watu wako wa karibu hawajakugundua. Tafuta Tiba ya haraka uweze Kupona tafadhali.
 
Wabongo bhana kwa hiyo kisa alimpost prof jay inahalalisha ofisi zake kuvamiwa

Two wrongs doesn't make right
Ofisi haijavamiwa isipokuwa wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma. Kumshikilia mtuhumiwa si kosa.
 
Acheni ujinga kujidai malaika, huyo Mange anahabarisha tu, kama habari ni mbaya isisemwe? huyo mange ni mbea lazima atoe habari za kimbea, na zote ni habari, unataka maadili gani kwenye umbea? kama umefumaniwa itaandikwa CHANCE NDOTO afumaniwa, aogipe kutoa habari kisa maadili mbona mnavofanya ujinga hamkumbuki kua ni maadili? ukiangalia hapa wengi wanaopondea ile App ni wale wanaojua wana makandokando yao huko wanajua ipo siku watafikiwa, hivo wana shout hapa iki ifungiwe wawe safe. Nasemaje App iendelee hadi wajinga wote wanyooke, wana cheat ovyo, wanaotoka.nnje ya ndoa, wanaojjidhalilisha yani wote acha waandikwe.

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
Kama kuna post ambayo ilitakiwa ipate Likes nyingi katika Uzi huu ni hii yako Mkuu kwani Umeandika Ukweli mtupu ila kutokana na Unafiki wetu tunajifanya kama hatujakuelewa. Binafsi nimekuelewa vyema kabisa na nakubaliana nawe kabisa.
 
Sasa mbona analeta kiburi aisee..ngoja wenzie wamuoneshe ya kwamba kiburi dawa yake jeuri..ila kuna mambo Tz yanatia kinyaa aisee unakuta mtu mzima kalipia App eti aone jinsi watu wanavyochafuliwa..ushamba wa mjini ni mzigo sana aisee
Ushamba na mm nasisitiza

Kuna mtu mmoja tena mtu mzima aliniuliza kama nina app ya Mange nikaishia kumtukana
 
Baba yake alibakwa na watu 11, akaamua kujipiga risasi.
Mama yake aliugua uchizi
Mtoto ndio huyo sasa.

Kuna watu wa kuwafanyia mambo ya ajabu Ila sio Jay, Jay ni mtu ambae hana noma na mtu kabisa. Mambo Kama hayo awafanyie kina bashite
Alibakwa kisa nn
 
Tangu uzi uanzishwe ni comment ya 155, of all the people nimeona PHALLER mmoja tu,

Narudia,
Nimeona PHALLER mmoja tu ndio anamtetea, hana akili.

Ni Coomer tu kama ma-Coomer wengine.

Nimekereka sana.
Anaweza kuwa ndiye, kwa nini anatumia nguvu nyingi kutetea makosa? Huwezi kualalisha kosa kwa kosa.
 
Back
Top Bottom