Dar: Ofisi za MangeKimambi App zavamiwa, wafanyakazi wake wakamatwa

Dar: Ofisi za MangeKimambi App zavamiwa, wafanyakazi wake wakamatwa

Kwa kifupi mi nipo ohio, nikisema TISS wanipe ushirikiano huyu bwege ameisha, japo ntaingia matatizonni potelea mbali..ntaishi tu vizuru tu jela za huku.

Pro jay ni wa kunyumba whatever it is..lazima nimsimamie.
mmh hahaha wabongo bhana. Katika ubora wako, kujitutumua kumbe hamna kitu.

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
 
ila tuseme ukweli, mange kichwa chake hakiko sawa kama mwanadamu wa kawaida. kina tatizo kidogo. kuna shetani mkubwa sana ndani yake.
Simple like that? Kama hakiko sawa mbona hatembei bila nguo au ajidai chizi aje bongo
 
Back
Top Bottom