Dar: Ofisi za MangeKimambi App zavamiwa, wafanyakazi wake wakamatwa

shangaa na wewe mkuu, video wala haina ubaya ila watu hapa wanajifanya wameguswa kama wameona mtu akiuawa, wanawaka na kufoka kama wamekutana na jini.

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
Aweke na ile video ya baba yake akifumuliwa rinda..., hakuna ubaya kupost watu bila ridhaa yao na kuwaondolea faragha. Au aweke video ya mama yake wa kufikia Dr.Mwele alipokuwa ICU..., si hakuna ubaya...
 
Samahani mkuu unajifanya mjuaji kumbe ni ujuaji wa kijinga sana
 
Ukiangalia nyuzi pembe ndo utamuona aliyechukua video? Nieleweshe tafadhali mkuu.
Mgonjwa anaonwa na watu wengi
Uchokozi huo ha ha haaaaa!! Kuna wataalamu wa mambo hayo ya uchunguzi.
 
Samahani mkuu unajifanya mjuaji kumbe ni ujuaji wa kijinga sana
Sema kosa lake ni lipi???? hajachunguza kutoka kwa dr. mgonjwa anaumwa nini???, ni video tu!!hilo sio kosa na hio app haitafungiwa kamwe eti shauri ya video. Angekua ameweka documents za mgonjwa mtandaoni zinazohusu ugonjwa wake hilo lingekua kosa. Mnalalamika hapa mnajifurahisha tu hata hao polisi watawaachia hao madogo bila mashtaka yoyote.
 
We jamaa sijui huelewi nn, Ni kosa kisheria kumpiga picha na kumpost mgonjwa au hata majibu ya vipimo vya hospitali bila kupata ruksa ya mhusika. Sasa wew hpo huoni tatizo?
 
wameajiriwa vipi kwa Siri na wana ofisi kabisa?
 
Baba yake alibakwa na watu 11, akaamua kujipiga risasi.

Mama yake aliugua uchizi

Mtoto ndio huyo sasa.

Kuna watu wa kuwafanyia mambo ya ajabu Ila sio Jay, Jay ni mtu ambae hana noma na mtu kabisa.

Mambo Kama hayo awafanyie kina Bashite
Bashite nae ni ntu.
 
Mange hivi huwa a huwezi kuongea bila matusi??
 
We jamaa sijui huelewi nn, Ni kosa kisheria kumpiga picha na kumpost mgonjwa au hata majibu ya vipimo vya hospitali bila kupata ruksa ya mhusika. Sasa wew hpo huoni tatizo?
Majibu ya vipimo pia infornation za mgonjwa ndio kosa kuzitoa hilo linajulikana sababu ipo.katika category ya confidenciality, pia kumpiga picha mgonjwa au mtu yoyote akiwa mtupu bila kufunikwa ama kua na.nguo yoyoye pia ni kosa sababu hiyo ipo kwenye category ya privacy, but that video haikua na hivyo vyote, na thats why video kama hizo hizo alozopost mange hupostiwa hata na watu mitandaoni ama vyombo vikubwa vya habari bila shida tena zingine ni even worse. Sasa hapa watu wanatype ujinga tu kujidai wameumia na kulaani as if hawajawahi ona ngonjwa akiwa ICU

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
 
basi kunywa maji upunguze hasira
 
wameajiriwa vipi kwa Siri na wana ofisi kabisa?
imagine , watu wanaongea ongea tu hapa kama hawajielewi, hao watu wamekua recruited very openly, nafasi.zilitangazwa watu wakaapply, pia sio kosa kufanya na mange kazi, job is a job , kama kuna mahali wamevunja sheria wapelekwe mahakamani. Eti "aibu kufanya kazi na mange au kujitambulisha wafanya kazi mangekimambi App" hii sentensi only stupid person can say it.

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
 
Hairuhusiwi kumpiga picha mgonjwa hata kama sio mahututi na yupo tu pale mapokezi ukapost bila ridhaa yake. Ukiona mtu kapostiwa hata wale wanaochangia damu ujue wameombwa wakaridhia. So ishu sio kupost tu ishu ni ridhaa ya mgonjwa.
 
basi kunywa maji upunguze hasira
nishakunywa tayari Mkuu, wanantia hasira tu watu wa humu ndani kujifanya wameguswa kinafki kumbe shida yao App ya mange ifungwe ili wawe safe wasijepostiwa one day, App iendelee kuwepo ili iwakomeshe wapuuzi wote , waongo waongo, wazinzi, wanaocheat, wanaotesa wenzao, wanaokula rushwa, wanaoiba , wanaotapeli, wanaoiza madawa, wanaofanya ujinga wote.

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
 
Atawamaliza wote hao...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…