Dar: Ofisi za MangeKimambi App zavamiwa, wafanyakazi wake wakamatwa

Hata hivyo mvujisha video huko alipo nafikiri akiskia mlango unagongwa anajificha uvunguni hawez kuwa na aman muda huu kwa kinacho endelea
Na utakuta ni mwanaume shabiki wa da mange Ana mpka app yake aliamua kumrushia video ili aonyeshe kumkubali yeye na app yake
 
Are you into drugs?
 
Baba yake alibakwa na watu 11, akaamua kujipiga risasi.

Mama yake aliugua uchizi

Mtoto ndio huyo sasa.

Kuna watu wa kuwafanyia mambo ya ajabu Ila sio Jay, Jay ni mtu ambae hana noma na mtu kabisa.

Mambo Kama hayo awafanyie kina Bashite
Kumbe baba yake mzazi alibakwa na watu 11 na mama yake nae ni chizi! Ndo maana na yeye mwehu
 
Mange Leo (kwa mwezi huu tu) amepata zaidi ya billion 2 maana more than 2milion users were online. Huyu hata akifungiwa mpunga alokusanya unamtosha kufanya chochote cha maana
Yule hata 100m sijui kama anazo ogopa mtu ambae anapigia picha mitaani,yani kwake hata sebuleni hajawahi piga....kwa njaa aliyonayo ungeona kufuru ya hiyo pesa
 
Acha kabisa ndugu yangu ukijua haya mambo utaelewa tuu... Ndio sio kila mtu kuja kumwona mgonjwa labda awe ni yule anaejiweza na kuongea na kupiga story za hapa na pale sio kila mgonjwa wa kutembelea nadhani. labda wa majeruhi wa miguu mikono hivyo.
Tena nadhani utaratibu wa kuona wagonjwa uwe kwa limit tena ya familia wa karibu........... kuna jambo nimejifunza sana. Mtu anakwenda ona mgonjwa ili aweze pata la kusema. Mungu atupe nguvu.
 
Yule hata 100m sijui kama anazo ogopa mtu ambae anapigia picha mitaani,yani kwake hata sebuleni hajawahi piga....kwa njaa aliyonayo ungeona kufuru ya hiyo pesa
Ile iko wazi mbona... kuingia kule ni elfu moja kila mtu. Jana server ilizidiwa. Zaidi ya watu milion 2 walikuwa online. Hapo ni hesabu rahisi tu 1000 × 2000000+ = zaidi ya 2b mkuu.
Kweli anafanya vibaya hasa ishu ya Jay na yule jamaa ambaye majibu yake ya hiv positive yalipostiwa pale. Ila ukweli hela anapiga mnooooo
 

Sio jana tu kila mara server inazidiwa na watz katukamata kwa kupenda umbea
 
Baba yake alibakwa na watu 11, akaamua kujipiga risasi.

Mama yake aliugua uchizi

Mtoto ndio huyo sasa.

Kuna watu wa kuwafanyia mambo ya ajabu Ila sio Jay, Jay ni mtu ambae hana noma na mtu kabisa.

Mambo Kama hayo awafanyie kina Bashite

Haya yanaweza semwa na mtu yeyote hakuna ushahidi
 
Unajuaje kwamba mimi sio mchungaji au dreva au sio mtaalam wa sheria? Kuna tofauti ya kujua na kuhisi, wewe unahisi tu ila hujui. Once ukijua, means unanijua identity yangu
 
Vipi wale waliokuwa wanamtetea akidhalilisha watu huko kwenu bado wapo? Nashauri waachiwe tu na aendelee kama kawaida kupost ujinga uleule uliompa umaarufu na mazombi yakamshangilia nchi nzima.........
 
Safi Sana polisi

Huyu dada anajikuta nani hivi?

Hana utu kabisa na ugonjwa wa mtu halafu ety ngwe ngwe ngwe!.

Kwanza hilo li app walio download nawaona hawana akili.
Mbona haya mambo alianza kudhalilisha watu zamani tu,tuseme Prof Jay ndiyo binadamu kuliko wengine? Mbona watu mlikuwa mnashangilia na matarumbeta kabisa Mange akiwatusi watu......apewe ulinzi kabisa na aendelee maana anawafurahisha walio wengi sana.......kwani nini Cha tofauti mbona watu mnatoa mapovu sana
 
Kuna watu kuona mgonjwa kwake Ni kuzoa la kwenda kusimulia mbele...kweli tuwe makini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…