Dar: Ofisi za MangeKimambi App zavamiwa, wafanyakazi wake wakamatwa

Kakufurahisha? Good download na app yake.
Alikuwa anawafanyia watu lakini sio mambo serious sana mfano kibamia cha lemutuz sijui takataka zingine hayo yana nini sasa?

Mtu yupo anapigania uhai wake tena ICU halafu family yake imeamua kuweka private halafu wewe unachukua Clip unasambaza wewe unachekelea.!

Ngoja siku tumfanyie baba yako au ndugu hata kaka ndio utaona.
 
Hayo ya kudhalilisha watu ameanza Leo? Huyu si mlikuwa mnashangilia akitukana na kudhalilisha watu? Pro Jay ndiyo binadamu bora kuliko aliowatukana na kuwadhalilisha na familia zao? Mange huyu ndiyo yule yule tu ambaye aliwatendea ubaya wengine na mkashangilia,why now anaonekana SI mtu mwema? Aendelee tu hivyo hivyo maana mlimshangilia tangu mwanzo na matarumbeta kabisa........na apewe na ulinzi kabisa.Hakuna haja ya kulalamika kisa clip ya Jay,maana tangu mwanzo wengine humu tulipinga tabia yake tukatukanwa sana eti uhuru wake,acha aendelee pale alipoishia.......
 
Mbona unarudia maneno yale yale ikiwa nimekujibu?
Haya nani alishangilia kuhusu huyo mange?

Inaonekana umefurahi Sana wewe ni yanga mwenzangu lakini hapa unaniangusha mzee.
 
Mbona unarudia maneno yale yale ikiwa nimekujibu?
Haya nani alishangilia kuhusu huyo mange?

Inaonekana umefurahi Sana wewe ni yanga mwenzangu lakini hapa unaniangusha mzee.
Sioni kipya maana anachokifanya ni muendelezo wa namna ya kuwafurahisha mazombi wake,kwahiyo hayo mapovu mnayomtolea mnamkosea maana anafanya kilekile anachokifanya kila siku
 
Nani huyo alimshangilia Mange?. Kumshangilia mange hakuhalalishi ndio aendelee kidhalilisha watu mitandaoni.
 
Nani huyo alimshangilia Mange?. Kumshangilia mange hakuhalalishi ndio aendelee kidhalilisha watu mitandaoni.
Hajaanza Leo kudhalilisha watu.......kujulikana kwake na umaarufu wake nikwasababu alikuwa anatukana na kuondoa utu wa watu ......... anachokifanya ndiyo kile kile Cha kila siku.......why Kwa Jay imeonekana ni sensitive saaana?
 
Na mie ndio nashangaa hivi huyo Prof J ndio binadamu sana au kuna mengine yanakuja watu wanaogopa. Huyu mtu katukana sana na watu walimshangilia iweje leo mapovu mengi?? Hadi Chief Hangaya alishikana mikono na kupeana hongera nyingi alovoenda US, kuna nini wanachoogopa sasa?? mie naunga mkono kazi na iendeleee Mange akazie hapo hapo mpaka wanafiki waumbuliwe na App. Kazi iendelee.
 
2bn sio masihara basi max melo angekua bilionea wa kutisha,hizo hesabu futa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…