Dar: Polisi wafanya mazoezi ya utayari wa kupambana na uhalifu wowote. RCP Muliro asema hawataruhusu kikundi cha watu kutengeneza hofu

Si ulisema mama siyo dhalimu?
 
Si ulisema mama siyo dhalimu?
Sio dhalimu, bali anamuiga dhalimu, lakini wala hapatii. Ndio maana nakuambia ni vyema ukamshauri aache siasa za kitoto na matumizi mabovu ya pesa za umma. Amkamate aliyekuwa anaitia nchi hasara, sio kutengeneza kesi za kubambikia, kisha atumie pesa kwa mambo ya kipuuzi.
 
Siku zinakuja ambapo police watakipata wanachokitafuta, huwez leta habar za ugaidi kwenye nchi isiyo na hata harufu ya ugaidi, one day watakuja magaidi wenyewe ndio wenye ulinz wao watauona mziki wao!
Mwenye masikio na asikie neno hili la onyo kutoka kwa Bwana. Mie naongezea tu " Laiti ungeyajua yapasayo amani ewe CCM,lakini yamefichwa machoni mwako maana Bwana amekutia upofu ili uangamie na kiti chako kisikumbukwe milele maana uovu wako umewapita hata wakoloni na umefika hata maskani ya BWANA"
 
Msisahau kunywa balimi kabla hamjahamrishwa na vibaraka wenu.
 
Ulisifia Mama anaweza, vipi hapo utasema nini?
 
Sio dhalimu ila anaiga mdhalimu!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Najua roho inakuuma sana mkuu! Tatizo ulimdemkia mapema mno.
 
Hao makada wanazidiwa weledi hata na police wa nchi ndogo tu kama malawi huwezi kuta wanatumwa kukijibia hoja chama tawala
 
 
View attachment 1880252
 
Mboga hizo[emoji1476]


Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Uchume nyumba gani wakati unaishi kwa shemeji akoo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…