IDEGENDA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 4,505
- 5,343
Si ulisema mama siyo dhalimu?Sio kwamba hapendi uonevu, bali anajihusisha na siasa za kishenzi. Ndio maana anatumia fedha za umma kwenda kupambana na kesi ya kubambikizia, huku mambo ya msingi yakimshinda. Anashindwa kumkamata aliyekuwa anaitia serikali hasara, halafu anatumia hovyo pesa za serikali kwa kuendekeza siasa za kitoto, kisha unashanglia huo utoto kama zwazwa. Hapo wazungu wataacha kutuita manyani kweli?