Dar: Polisi wamsaka Mganga aliyelewesha Watu 16 wa familia moja kisha kuwaibia

Dar: Polisi wamsaka Mganga aliyelewesha Watu 16 wa familia moja kisha kuwaibia

... "hii dawa inatibu magonjwa mengi sana: miguu kuwaka motoo, kisukari suguu, kuongeza nguvu za kiume, tezi dumee, eeeh bhana, ... kuongeza ukubwa wa nanii, ... halafu sina uchoyo na dawa babu alinipa bure na kwa leo ninatoa 'PROMOSHENI' kwa hii familia yote 'KUNYWENI BURE' kikombe kimojakimoja, ... MTANIAMBIA!
😅😅😅😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ni wapuuzi na wajinga, hospitali zipo, kwa nini wategemee mganga tapeli? Bora hata wangempeleka huyo mgonjwa wao kwa kina mwamposa. Kutegemea mganga wa kienyeji akutatulie shida ni ujuha
 
Kuna uwezekano nchi za Kiafrika ikiwemo Tanzania, ndiyo zinaongoza kwa kuwa na kundi kubwa la watu wajinga.

Na wajinga hao wamebakia kuwa mtaji kwa wanasiasa na pia matapeli wengine.
 
Aiseeh yani mgonjwa ni mmoja afu walokunywa dawa ni 16?! Anyways mganga ni box umewazimisha watu 16 afu unaishia kuiba simu?! Bora hata angeezua mabati akaboreshe kilinge chake huko porini
 
Huyu mganga anahitaj pongezi Kwa utapeli alioufanya maana watanzania wanaendekeza Sana mambo ya kipuuzi., sioni sababu ya polisi kumsaka badala ya kumpa pongezi
 
Huyu mganga anahitaj pongezi Kwa utapeli alioufanya maana watanzania wanaendekeza Sana mambo ya kipuuzi., sioni sababu ya polisi kumsaka badala ya kumpa pongezi
Mi nachoshangaa familia ilikua na mgonjwa wa miguu mmoja lakini walokunywa dawa ni 16+, aiseeh umaskini wa fikra ni kitu kibaya sana
 
Washukuru sana amewaibia tu,angewafir@ kabisa iwe mfano kwa wengine wanaoamini uganga wa kienyeji wa dot com
 
Back
Top Bottom