Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 5,566
- 5,477
Mi nachoshangaa familia ilikua na mgonjwa wa miguu mmoja lakini walokunywa dawa ni 16+, aiseeh umaskini wa fikra ni kitu kibaya sanaHuyu mganga anahitaj pongezi Kwa utapeli alioufanya maana watanzania wanaendekeza Sana mambo ya kipuuzi., sioni sababu ya polisi kumsaka badala ya kumpa pongezi