Nchi 14 barani Afrika zimeikataa Israel kujiunga na jumuiya hiyo.Hatutaki nchi yetu ionekane ipo upande gani.
Mojawapo ya nchi hizo,ni Tz.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi 14 barani Afrika zimeikataa Israel kujiunga na jumuiya hiyo.Hatutaki nchi yetu ionekane ipo upande gani.
Hata kamaNchi 14 barani Afrika zimeikataa Israel kujiunga na jumuiya hiyo.
Mojawapo ya nchi hizo,ni Tz.
Badala muandamane, Hamas iwaachie ndugu zetu nyie mnawasupport magaidi.Bora Ponda kuliko mdude ambaye hakutoka hata Barazani🤣
Ikawaje muombe msaada Toka USA,mkosogeza na mimeli ya kivita ilihali Hamas hawana hata kifaru?hawana uwezo wa kupambana na israel kijeshi.
Kongo wanaweza sema wagalatia wengi, Sudan tu hapo juzi Janjaweed (waarabu weupe) wamechinja raia weusi wa Sudani kama 700 hivi on the spotSafi Sasa kuzua taharuki kwa Mambo ya kipumbavu
et oooh ndugu zetu wanaonewa pumbavu kabisa hawa
Kongo ndugu zetu wa Afrika wenzetu jilani zetu weusi wenzetu Ila Kila MTU yupo kimya Leo uandamane ufunge barabara kisa mwalabu ambae hakusaidi chochote
Bibi yetu mfia dini Faiza hakua uko kwenye maandamano?
Poleni sana Wapalestina wa Bongo.
Walioandaa Maandamano hawana weledi,wangetumia kigezo Cha Kuandamana Ili Hamas Wawaachie Wale Watoto Wetu ,harafu mbele huko inageuka kuwa Takbiir na kulaani Mazayuni.
Bure kabisa 😁😁
View: https://www.instagram.com/reel/Czd_BE3tgMc/?igshid=eHdyeGZjOGtuZDQ3

Haha, ulivyonyonyoka!! Hivi seriously unaacha tafuta hata dagaa unaenda andamana kwaajili ya palestina? Wanakujua? Halafu maandamano yenu yasaidie nini sasa kama UN tu hawasikilizwi?Wewe tibu kwanza Festula. Na shida ingine ya kwako ni punga kupona itakuwa kazi.
Nyakati zimebadilika sana.Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam SACP. Muliro amepiga marufuku maandamano yaliyopangwa kufanyika leo Novemba 10, 2023 Dar es Salaam, pia amewatahadharisha wananchi kutoshiriki maandamano hayo.
=====
Polisi Dar wazima maandamano, Sheikh Ponda akamatwa
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limezima maandamano yaliyokuwa yamepangwa kufanyika kuanzia viwanja vya Mnazi Mmoja hadi Manzese, huku likikamata baadhi ya viongozi wanaodaiwa kuyandaa akiwemo Katibu wa Shura ya Maimamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda.
Taarifa za maandamano hayo inayoandikwa kuwa imetolewa na Shura ya Maimamu Tanzania, zilianza kusambaa kwenye mitandao ya kijamii leo Novemba 10, zikieleza kuwa ni maandamano ya kutetea Mamlaka ya Palestina ambayo yalipangwa kufanyika leo saa 7:30 mchana kuanzia Mnazimmoja hadi Manzese.
Kufuatia taarifa hiyo, Kamanda wa Polisi wa kanda hiyo, Jumanne Muliro alitoa taarifa kupitia video kwenye mitandao ya jamii akipiga marufuku maandamano hayo.
Mwananchi Digital ilifika Mnazimmoja na kukuta umati wa watu, huku askari Polisi wenye sare wakiwa wameimarisha ulinzi kuzunguka viwanja hivyo.
Chanzo: Mwananchi
===========
UPDATES: TAARIFA YA JESHI LA POLISI
Akizungumza na JamiiForums kuhusu taarifa hiyo, Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum, Jumanne Muliro amesema:
"Tulimueleza taarifa zinazohusiana na mikutano au makusanyiko, taarifa zake anatakiwa kupeleka kwa Mkuu wa Polisi wa Wilaya kwa mujibu wa Katiba na Sheria, na Mkuu wa Polisi wa Wilaya anatakiwa kutoa mwongozo wa kiusalama, yeye (Ponda) hakufanya hivyo.
"Baada ya kuelezwa hivyo, hakufanya chochote, akawa anahamasisha kwenye mitandao kuhusu, akaanza kukusanya watu, hakufuata utaratibu kama anakubaliwa au la.
"Kinachofanyika anahojiwa, tunataka kujua kuna nini kinachoendelea kuhusu mipango iliyopo.
"Baadaye tutaangalia mazingira, tutaangalia hiki kinachochunguzwa kama kinadhaminika au tofauti, baada ya mahojiano tutaangalia dhamana kwa mujibu wa Sheria na anatoa ushirikiano mzuri katika mahojiano."
"Umati wa watu walikuwa mnazimmoja" Akina mdude wamejifungia chumbani na magodoro wamejifunikaKamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam SACP. Muliro amepiga marufuku maandamano yaliyopangwa kufanyika leo Novemba 10, 2023 Dar es Salaam, pia amewatahadharisha wananchi kutoshiriki maandamano hayo.
=====
Polisi Dar wazima maandamano, Sheikh Ponda akamatwa
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limezima maandamano yaliyokuwa yamepangwa kufanyika kuanzia viwanja vya Mnazi Mmoja hadi Manzese, huku likikamata baadhi ya viongozi wanaodaiwa kuyandaa akiwemo Katibu wa Shura ya Maimamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda.
Taarifa za maandamano hayo inayoandikwa kuwa imetolewa na Shura ya Maimamu Tanzania, zilianza kusambaa kwenye mitandao ya kijamii leo Novemba 10, zikieleza kuwa ni maandamano ya kutetea Mamlaka ya Palestina ambayo yalipangwa kufanyika leo saa 7:30 mchana kuanzia Mnazimmoja hadi Manzese.
Kufuatia taarifa hiyo, Kamanda wa Polisi wa kanda hiyo, Jumanne Muliro alitoa taarifa kupitia video kwenye mitandao ya jamii akipiga marufuku maandamano hayo.
Mwananchi Digital ilifika Mnazimmoja na kukuta umati wa watu, huku askari Polisi wenye sare wakiwa wameimarisha ulinzi kuzunguka viwanja hivyo.
Chanzo: Mwananchi
===========
UPDATES: TAARIFA YA JESHI LA POLISI
Akizungumza na JamiiForums kuhusu taarifa hiyo, Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum, Jumanne Muliro amesema:
"Tulimueleza taarifa zinazohusiana na mikutano au makusanyiko, taarifa zake anatakiwa kupeleka kwa Mkuu wa Polisi wa Wilaya kwa mujibu wa Katiba na Sheria, na Mkuu wa Polisi wa Wilaya anatakiwa kutoa mwongozo wa kiusalama, yeye (Ponda) hakufanya hivyo.
"Baada ya kuelezwa hivyo, hakufanya chochote, akawa anahamasisha kwenye mitandao kuhusu, akaanza kukusanya watu, hakufuata utaratibu kama anakubaliwa au la.
"Kinachofanyika anahojiwa, tunataka kujua kuna nini kinachoendelea kuhusu mipango iliyopo.
"Baadaye tutaangalia mazingira, tutaangalia hiki kinachochunguzwa kama kinadhaminika au tofauti, baada ya mahojiano tutaangalia dhamana kwa mujibu wa Sheria na anatoa ushirikiano mzuri katika mahojiano."
Nasikia TEC kupitia Mdude maandamano yao wameyakimbia. Wamejificha mvunguni na milango wamefungaBadala ya kutuletea vurugu hapa, waombe visa waende gaza wakaandamanie huko. No body will be concerned.
But here, sukuma ndani wote.