OMwenyezi Mungu hawakatazi kuwafanyia hisani na uadilifu wale ambao hawakupigana nanyi kwa ajili ya dini, wala hawakuwafukuza katika nchi zenu. Hakika Mwenyezi Mungu anawapenda wafanyao uadilifu. Isipokuwa Mwenyezi Mungu anawakataza kuwafanya marafiki wale wanaopigana nanyi katika dini, na wakawafukuza katika nchi zenu na wakasaidia katika kufukuzwa kwenu, na wawafanyao marafiki, basi hao ndio madhalimu" (60: 8 - 9)
Wapo wapo tu na kobazi zao mradi washashiba biriani.Wanaandamana kupinga au kusapoti nini?
FaizaFoxy huyu huyu?Yupo Kiwangwa, Bagamoyo
Sheikh Issa Ponda amekamatwa. na Polisi kwa kosa la Kuandaa Maandamano ya Kuwaunga Mkono Wa-Palestina.Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam SACP. Muliro amepiga marufuku maandamano yaliyopangwa kufanyika leo Novemba 10, 2023 Dar es Salaam, pia amewatahadharisha wananchi kutoshiriki maandamano hayo.
=====
Polisi Dar wazima maandamano, Sheikh Ponda akamatwa
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limezima maandamano yaliyokuwa yamepangwa kufanyika kuanzia viwanja vya Mnazi Mmoja hadi Manzese, huku likikamata baadhi ya viongozi wanaodaiwa kuyandaa akiwemo Katibu wa Shura ya Maimamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda.
Taarifa za maandamano hayo inayoandikwa kuwa imetolewa na Shura ya Maimamu Tanzania, zilianza kusambaa kwenye mitandao ya kijamii leo Novemba 10, zikieleza kuwa ni maandamano ya kutetea Mamlaka ya Palestina ambayo yalipangwa kufanyika leo saa 7:30 mchana kuanzia Mnazimmoja hadi Manzese.
Kufuatia taarifa hiyo, Kamanda wa Polisi wa kanda hiyo, Jumanne Muliro alitoa taarifa kupitia video kwenye mitandao ya jamii akipiga marufuku maandamano hayo.
Mwananchi Digital ilifika Mnazimmoja na kukuta umati wa watu, huku askari Polisi wenye sare wakiwa wameimarisha ulinzi kuzunguka viwanja hivyo.
Chanzo: Mwananchi
===========
UPDATES: TAARIFA YA JESHI LA POLISI
Akizungumza na JamiiForums kuhusu taarifa hiyo, Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum, Jumanne Muliro amesema:
"Tulimueleza taarifa zinazohusiana na mikutano au makusanyiko, taarifa zake anatakiwa kupeleka kwa Mkuu wa Polisi wa Wilaya kwa mujibu wa Katiba na Sheria, na Mkuu wa Polisi wa Wilaya anatakiwa kutoa mwongozo wa kiusalama, yeye (Ponda) hakufanya hivyo.
"Baada ya kuelezwa hivyo, hakufanya chochote, akawa anahamasisha kwenye mitandao kuhusu, akaanza kukusanya watu, hakufuata utaratibu kama anakubaliwa au la.
"Kinachofanyika anahojiwa, tunataka kujua kuna nini kinachoendelea kuhusu mipango iliyopo.
"Baadaye tutaangalia mazingira, tutaangalia hiki kinachochunguzwa kama kinadhaminika au tofauti, baada ya mahojiano tutaangalia dhamana kwa mujibu wa Sheria na anatoa ushirikiano mzuri katika mahojiano."
Hasa unapokuwa na akili za kijinga kama wafuasi wa Chadema.Nchi ngumu sana hii...
Tukifanikiwa kwenda mbinguni tutapewa kazi ya kudeki vyoo
Halafu uwe na akili za kipumbavu kama CCM ni tabu tupuHasa unapokuwa na akili za kijinga kama wafuasi wa Chadema.
Unamkumbuka John Okelo?Mtabaki hivyo kutegemea wengine wakuleteni ukombozi
Wa kumuonea huruma ni mama yako kwa kukuleta duniani bila sababu za msingi na kuchezea hewa ya Oxygen..Kuandamana ni haki ya kila raia ingawa siungi mkono hoja zao za maandamano.Waminye hizo korodani, mpaka zipasuke..
🤣🤣🤣....kama fujo, kuuana na ubabe ungekuwa ndio suluhisho, leo mngetawala dunia.Utaumia sana tu. Nyinyi mkiona sare ya polisi unaimkia kwa woga.
Au unapokuwa na akili za matakoni kama wanaoihusudu FisiemuHasa unapokuwa na akili za kijinga kama wafuasi wa Chadema.
Israel.... kama huamini kawaulize Hamas..Kuna nchi gani isiyo ngumu duniani!
Nchi 14 barani Afrika zimeikataa Israel kujiunga na jumuiya hiyo.
Mojawapo ya nchi hizo,ni Tz.
Nasikia TEC kupitia Mdude maandamano yao wameyakimbia. Wamejificha mvunguni na milango wamefunga
Wakiristo mlivyokuwa woga wa kufa. Kama si waislam uhuru wa Tanganyika ungalipatikana 2023 labda
Kafiri wewe mbona hukuandamana 9/11?WEwe usiwe muoga wa kufa nenda Palestine ukapigane.
Keyboard warrior
Ohooooooo!! Kumbe mwenzetu unatetea dini yako 😆 😆 😆 😆Sasa nimekupata vizuri!Wakiristo mlivyokuwa woga wa kufa. Kama si waislam uhuru wa Tanganyika ungalipatikana 2023 labda
Sasa kanisa si msaidie? Maana kanisa likiona hijab tumbo linawakata motoAt least akina mdude wanaandamana kuhusu mambo yanatugusa sisi.