Dar: Polisi yazima maandamano, yakiri kumshikiliwa Sheikh Ponda kwa mahojiano

Mzee said heshima Yako mkuu
Samahani Mzee wangu labda unaweza kunisaidia jambo hili kunifafanulia

1) Nini umuhimu wa hayo maandamano Kwetu sisi WaTanzania pia kama wa Afrika?

2) vip na upande wa pili wa wagaratia nao wakaamua kuandamana na mabango makubwaaa I STAND WITH ISRAEL una zani hakutakua na mgongano hapo katikati wa kimtazamo? Na kuhatarisha usalama wa nchi

3) Kuna guarantee Gani kwamba hayo maandamano hayawezi kuzua taharuki na fujo maana kumbuka katika hili watu tunatofautiana mitazamo.

4) Lakini Babu kumbuka pia Moja wa wahanga ni WaTanzania pia Kuna ndugu zetu wawili ambao familia zao zinakesha kuomba watoke huko salama Kwa watu ambao tunataka kuungana kuandamana Kwa ajili yao unaona ni sawa

Kumbuka hii nchi haiongozwi na misingi ya kidini japo inatambua Raia wake Wana dini mbalimbali
 
Wa kumuonea huruma ni mama yako kwa kukuleta duniani bila sababu za msingi na kuchezea hewa ya Oxygen..Kuandamana ni haki ya kila raia ingawa siungi mkono hoja zao za maandamano.
We ni ng'ombe, unashindwa kuandamana kwa ajiri ya nchi yako... Unapeleka m*tak* kizembe, Nashauri PONDA akatwe MBUPU.
 
Tena hao wapumbavu watandikwe viboko akili ziwakae sawa😡😡 kama wanaona wanauchungu Sana na hao waarabu waende wakaungane nao kule 😡😡😡😡 shenziiiiiiiiiiii kabisa hao 😡😡😡
Haya majama ya MAKOBAS, hayajawahi kumiliki akili hata siku moja..
 
Mpaka leo sijajua ni kwa nini 'wakubwa' wetu wanahofia maandamano.
 
Mpaka leo sijajua ni kwa nini 'wakubwa' wetu wanahofia maandamano.
Pana nchi flani iliwahi Fanya maandamano ya amani na Askari wakatoa ulinzi WA kutosha Kwa waandamanaji.Sniper WA kiisraeli wakaanza kuwaua wale Askari wanaotoa ulinzi.wale Askari walipoona wanakufa wakaanza kuwaua waandamanaji WA kutosha.

Uchunguzi ulipofanyika,serikali ya nchi Ile ikajutia kuua raia wake kimakosa ambapo wahusika walikua ni Waisrael.
 
11 November 2023
Riyadh, Saudi Arabia


Nchi za Umoja wa Kiislamu (OIC) na wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu, waandaa mkutano wa dharura


Waarabu waamua kutumia mikutano rasmi ya viongozi badala ya kuhamasisha maandamano katika nchi zao

Saudi Arabia inaandaa mkutano maalum siku ya leo Jumamosi, unaoleta pamoja nchi za ulimwengu wa Kiislamu na Kiarabu kujadili hali inayozidi kuwa mbaya huko Gaza.

Wizara ya Mambo ya Nje ya Ufalme huo ilitangaza habari hiyo mwishoni mwa Ijumaa, ikisema Saudi Arabia kuwa mwenyeji wa mikutano miwili ya kilele, mmoja wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) na mmoja wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu, Jumamosi. Mkutano huo wa pamoja uliibuka kama mbadala baada ya Saudi kushauriana na wanachama wa mashirika yote makubwa.

Kwa mujibu wa wizara hiyo, mkutano huo wa pamoja "utafanyika kujibu mazingira ya kipekee yanayoendelea katika Ukanda wa Gaza wa Palestina huku nchi zikiona haja ya kuunganisha juhudi na kutoka na msimamo mmoja wa pamoja".


LIVE : Mkutano Maalum wa Wakuu wa Nchi Za Kiarabu kuhusu Gaza


View: https://m.youtube.com/watch?v=Jhz46OsAG1Q
Riyadh, Saudia

Wakuu wa nchi kiislamu za Kiarabu wakutana




Njia sahihi za kidiplomasia kutafuta suluhu kupitia protokali za nchi na nchi badala ya mashindikizo ya Palestine kuandaa maandamano katika nchi za kiarabu zafuatwa


Mwana wa mfalme wa Saudi Crown Prince Mohammed Bin Salman akichagiza njia za kidiplomasia kuhusu suala la Gaza [Saudi Press Agency/Handout via Reuters]
 
Tanzania almanusura iwe mwanachama wa OIC na leo ingekuwepo katika mkutano huu unaofanyika Riyadh Saudi Arabia.

Shukrani kwa viongozi wetu walio ona mbali Umoja huu wa OIC tukichukulia ukweli wa upekee wa nchi yetu kutotaka kujiingiza kama dola inayoegemee imani fulani ingeleta matatizo, mgawanyiko, mihemuko, jazba na giliba katika jamii
 
Kwa hili polisi wamefanya vyema

Yaliyopo nchini mwenu mnashindwa kuyatatua mnataka kubeba magumu ya wengine.

Udini usiwapelekepeleke
Ya ngoswe mwachieni ngoswe
 

Ulitaka waende palestina wakati hakuna hiyo nchi ulimwenguni.
 
Polisi wa tanzania ni zaidi ya mbwa koko. Wamuaxhie shehe mara moja. Wapuuzi wakubwa!
 
11 November 2023

SHURA YA MAIMAMU TULITAKA KUANDAMANA KWA NIABA YA WATANZANIA WOTE


View: https://m.youtube.com/watch?v=D6RmVEIEt1gShura ya maimamu yafafanua kuwa waliandaa maadamano lengo lake kupaza sauti kama watanzania wote kutokana na makanisa, misikiti, hospitali, pia raia Gaza kupata dhoruba ya kijeshi .

Shura ya maimamu walaumu mabeberu kuingilia maandamano na pia watoa kauli kukamatwa kwa sheikh Ponda

Shura ya maimamu inashangaa serikali kukaa kimya kwa kutolaumu kinachoendelea Gaza na kutoa msimamo kama nchi, msemaji wa Shura ya Maimamu auliza na kushangaa alipokuwa akizungumza na waanfishi wa habari hii leo.
 


1 2 November 2023
Cape Town, Republic of South Africa

Vurugu Zazuka Katika Maandamano, Polisi Yatumia Mizinga ya Maji Kutawanya watu Katika Maandamano ya Suala la Palestine



View: https://m.youtube.com/watch?v=hGHvN2BqZcMPolice in Cape Town have fired water cannons and stun grenades as chaos unfolded on the Sea Point Promenade following the confrontation between the Pro-Israeli and Pro-Palestine supporters.
Source : SABC News
 
Hata hazungumzii vijana wetu walioshikiliwa wa waarabu wenzao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…